Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Yani hiyo course huwa ina field kweli? Na je, ikoje hiyo kozi? Msaada plz
0 Reactions
15 Replies
11K Views
kwa wale wanaojua shule za private za bei nafuu ada ya chini ya sh. milion 2 naomba anijuze. shule iwe mkoa wowote na pia iwe inapokea walio risit na iwe na mchepuo wa EGM. naomba msaada wenu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Plagiarism Quite simply, plagiarism is theft :eek: As I presented in the previous thread that reference is so important for scholars 👨‍🏫 and trusted writers ✍️. Failure to acknowledge other...
1 Reactions
1 Replies
544 Views
msaada jinsi ya kupata chuo china
0 Reactions
16 Replies
2K Views
JOKAMEDIATZ ONLINE CAFE Kwa wahitimu wa kidato cha nne na cha sita na wale walioko vyuoni diploma na degree (apply now) na wenye uhitaji wa fomu ya mikopo Jokamediatz ni mtandao wa wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Samahani wana JF ningependa kujua kuhusiana na chuo cha Amo tanga health centre
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wamajamvi salaam kwenu wakuu. Mwezi wa saba wanafunzi wengi wataanza masomo ya Advance. hata kama sio wewe yawezekana akawa ni rafiki yako, ndugu yako au hata mtoto wako anataka kaja kuwa...
4 Reactions
68 Replies
22K Views
On how we can answear question which were asked as explain the major cause of temperature inversion What required is On how we can explain example point like frontal formation On how his...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
wanabodi habari... kutokana na adha wanazopata wazazi, wahitimu au hata walimu mbalimbali kufunga safari kutoka makwao sehemu mbalimbali. just imagine mtu anatoka BUKOBA Au KIGOMA anaenda hadi...
1 Reactions
2 Replies
870 Views
Kuna jambo mimi linanichanganya sana. Ukipewa shairi na kuulizwa type of the poem. Unaandika zile open na close poem au unaandika zile narrative poem, lyric poem, epic na mengineyo? Njmeulixa hv...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni baada ya kukuta a changamoto nyingi zinazohusiana na Excel. Nimeamua nijifunze hii kitu kabisa.
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Jamani naomba msaada hivi baada ya kumalizaa veta kozi ya umeme ya miaka miwili naweza kujiendelezaa tena kwa kujiunga na chuo cha DIT dar es salaam au veta kipawa kuendelea kusoma kozi hiyo hiyo...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Undergraduate Students doing a course in Soil Mechanics: I will upload something for you next week, mainly solved problems involving soil mechanics' BASIC RELATIONSHIPS. Make sure that you share...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Samahani ningependa kujua kuhusiana na chuo cha Bombo kilichopo Tanga
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Habari wakuu, Kuna mdogo wangu amechukua first degree ya nursing na amepata GPA ya 3.6, akafanya masters ya public health akapata GPA ya 3.8, baadae akafanya PhD katika reproductive health. Kwa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habar, mwenye uelewa kuhusu hi software anisaidie in general zko ngap collection zake na unaweza ipatajee collection nzima
0 Reactions
0 Replies
536 Views
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Back
Top Bottom