MAONO YA JANGWANI.
1.
Kwa macho haya mawili,
Nilishuhudia,
Vinginevyo yapofuke.
2.
Kwa masikio mawili,
Niliyasikia,
Kinyumeche yazibike.
3.
Malaika elfu mbili,
Menisimamia,
Kwa vishindo na makeke...
Nimejikuta nikijiuliza kwa nini waganda amekuwa wagumu sana kukikubali kiswahili? Ningetegemea wawe mbele zaidi hasa ukizingatia wamekuwemo Kwenye uanzilishi wa jumuia yetu na Vilevile kiswahili...
Shida yangu kubwa ni neno "was" ukitaka kulitumia na verb unatumia verb gan Kat ya irregular verb, past au partipaticiple mfano juz boss aliniambia I was not seen you in an office hpo ilo neno...
Kiswahili au lugha yeyote kila neno lina mbadala au neno sawa na maana (neno)la mwanzo.
Mfano:
amekufa=ameaga dunia
mrembo=ua
emu na wewe andika maneno unayoyafahamu
Naomba ufafanuzi tafadhali. Mtu mwenye kisirani anakuwa katika hali gani? Kisirani ni hasira.? Nini tofauti ya hizi hali.
Naomba na mifano kamaitawezekana.
Nawakilisha
Abari ndugu zangu na wana kiswahili... Kuna maneno ambayo yanatumika mujarabu kama ya kiswahili lkn kumbe yameathiriwa na lafudhi zetu mfano:-
For line = foleni
I see= aisee
Kma unao mfano...
Moja ya mashairi yake yanasema:
Kama ni watoto fika kwetu posa,
utawaona,utawaona,
usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa
tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu...
Simjui...
Kiswahili haina Q.
Nimekaa muda mrefu na kutafakari kama kuna neno la kiswahili lenye q ndani yake.
Kwa muda sasa keyboard ya simu yangu imenigomea kuandika q lakini hata hivyo sijahihitaji...
Wanajamvi za mda huu nina shida ya kutokujua kuandika ngeli naomba msaada wenu,kuongea najua ila kuandika ndo issue.ntashukuru kama mtanisaidia kwa hilo mana niko form 2.napaya shida sana darasani
NA BIFU NA ADIMINI.
1)nione sina adabu,ukweli nikuambie.
Niseme kilo nisibu,upende na uchukie
Acha nipige ulabu,na haya inikimbie.
Na bifu na adinimi,natamani nikuteke.
2)ni mbaya yako...
Ninaomba kuanzisha hii mada baada ya kusikia kwamba kuna mahali walimu wamefukuzwa kwa sababu ya kuongea kiswahili katika mazingira ya shule.
Niseme tu kwamba naunga mkono jambo hilo kwa asilimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.