MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge...
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini...
1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE.
2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025.
2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo...
Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC...
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao...
Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe...
Inasemwa kuwa siku ya Jana na Leo huko kwenye mitaa ya Lumumba mjini Dar es salaam na Kuu huko mjini Dodoma, vicheko Kwa Wana CCM vimetawala.
CCM wanawacheka wajamaa wenzao chama cha Apruebo...
Wakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi...
NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la...
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali...
Wakuu
Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM...
Kuna Taarifa za kitetesi kuwa Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amekutana faragha na Viongozi waandamizi wa Upinzani Wastaafu Mzee Mbowe na James Mbatia
Nini kimejiri, zikitufikia utafahamishwa hapa...
Wasalaam.
Zimenifikia habari za uhakika kwamba kuna viongonzi wa dini wamefanikisha kuwakutanisha wawili hao kwa mazungumzo muhimu kuelekea uchaguzi mkuu mwenzi Oct kama utakuwepo na kauli mbiu...
Huenda hatma ya uanachama wa wabunge wa viti maalumu wa chadema, maarufu kama wabunge wa COVID-19, ikajulikana mara tu ya bunge kuvunjwa. Inasemekana watapokelewa kwa mapokezi maalumu rasmi...
Ndugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu...
Heshima wanajamvi.
Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.
Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.