Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi. Niko na...
11 Reactions
187 Replies
18K Views
Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
-Naona dalili za hofu na kupanic tu hata kabla hajachukua fomu makumi ya watu wameingiwa na hofu, wivu, hasira na chuki huku mamilioni ya Vijana tukiwa nyuma yake. -Tutaendelea kumpigania na...
7 Reactions
92 Replies
19K Views
Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995? Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi. Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja...
16 Reactions
113 Replies
19K Views
Wanabodi, leo kuna msomi mmoja Bw. Kidawi Limbu, amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar wa 2015, kama usinge futwa, Maalim Seif Shariff Hamad, wa Chama cha Wananchi CUF ndie angelikuwa...
17 Reactions
136 Replies
31K Views
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa...
100 Reactions
475 Replies
99K Views
Mimi nilikuwa muumini makini wa Chama makini cha upinzani kilichojijenga taratibu mpaka kuonekana kuwa pengine kinaweza kuwa mbadala wa CCM. CHADEMA ilikuwa taratibu bila misukosuko mingi mpaka...
20 Reactions
212 Replies
22K Views
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time...
35 Reactions
191 Replies
27K Views
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha...
7 Reactions
282 Replies
35K Views
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza...
2 Reactions
111 Replies
18K Views
Uchambuzi wa Kijinsia wa Taasisi ya FES kuhusu Uteuzi wa Wagombea Ndani ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2020, umebainisha kuwa Uteuzi wa wagombea ndani ya Vyama vya siasa nchini Tanzania unakabiliwa...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gongo katika mkutano wa kuomba kupigiwa kura za maoni CCM...
12 Reactions
301 Replies
51K Views
Makubaliano ya wawili hawa ambayo ni yamdomo chini ya viapo (Gentlemen agreement) ni suala linalotazamwa na wahusika hawa kwa jicho kali sana, msingi wa aina hii ya makubaliano unasimama katika...
31 Reactions
140 Replies
31K Views
Nimeliona andiko la kumchafua Waziri Membe na Jack Gotham ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake, lakini nataka niwahakikishie tu kwamba halina chembe ya ukweli hata...
4 Reactions
84 Replies
21K Views
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi. Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha...
26 Reactions
827 Replies
88K Views
HISTORIA FUPI YA JOEL ARTHUR NANAUKA Joel Arthur Nanauka ametangaza nia ya kuwania ubunge jimbo la Mtwara mjini kupitia CHADEMA. Tarehe 25 June 2015 alirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama...
6 Reactions
32 Replies
65K Views
Akiongea leo jijini Mwanza, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa kamati kuu ya CCM ndugu Nape Nnauye amesema kuwa hana msalie mtume na wanaotumia fedha kununua uongozi. Aidha Nape Nnauye ameweka wazi...
12 Reactions
147 Replies
22K Views
WATANZANIA wanaelekea kutegua kitendawili cha nani awe Rais ajaye. Wametaja wasifu wa Rais huyo na kusisitiza kuwa uchaguzi wa mwaka huu umuweke kiongozi huyo kumrithi Rais Jakaya Kikwete...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine...
22 Reactions
316 Replies
66K Views
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli? Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini...
15 Reactions
82 Replies
12K Views
Back
Top Bottom