Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Anonymous (9a23)
Hii nimeiona kwenye Group linajiita MATAGA ila CHADEMA wamo kibao. Nikaona niwatumie hapa nanyi muione. ==== "CCM Mkoa wa Mbeya wanatamba kuwa Ziara ya Rais Samia Wilaya ya Kyela ilifana sana...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Tukubaliane tu kwamba utalii unatutangaza, unatuingizia fedha za kigeni, kuinua uchumi na kutoa ajira. Lakini utalii usiposimamiwa vizuri madhara yake ni mtambuka na ni makubwa...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji...
0 Reactions
4 Replies
484 Views
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu...
3 Reactions
9 Replies
367 Views
Zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambalo limefanyika kwa siku mbili katika Wilaya ya Uyui hapa Tabora lilipokelewa vizuri na Wananchi na inawezekana mwitikio umekuwa mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
UJUMBE MZITO KWA WANABIHARAMULO KUHUSU MTU ANIYEJIITA LIMBILE MARTIN AU KIZINGU NI MTU HATARI TAPELI WA KISIASA ANAJIITA MSAIDIZI WA MBUNGE WA MPWA AMBAYE NI WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA ...
1 Reactions
17 Replies
560 Views
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa! Swali kwanini kwa kipindi hiki...
56 Reactions
328 Replies
118K Views
Hellow Tanganyika! Uharibifu wa mazingira ni mkubwa Kanda ya Ziwa, Nia ni njema kuruhusu wachimbaji WADOGO, ila usimamizi wa karibu ni muhimu. Serikali chini ya wizara ya madini itengeneze...
0 Reactions
3 Replies
194 Views
Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi...
3 Reactions
15 Replies
556 Views
Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Anonymous (7609)
Licha ya tangazo la mwaka 2024 la kutangaza nafasi za Kazi ya Muda ya waandikishaji wasaidizi na BVR OPERATORS kuaininsha malipo ya Kazi kuwa ni tsh 50,000 Kwa siku na yatalipwa Kwa siku zote za...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Habari wana bodi, Hii ni shule ya serikali inayosimamia na TAMISEMI iliyopo Jiji la Arusha. Sisi wazazi na jamii nzima tunaelewa na tunapewa elimu mara kwa mara na mamlaka mbalimbali za serikali...
0 Reactions
9 Replies
432 Views
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!. Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na...
27 Reactions
154 Replies
7K Views
Anonymous (fb8b)
Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI. Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko...
36 Reactions
207 Replies
17K Views
Nawasalimu Wakuu, Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu? Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata...
96 Reactions
451 Replies
48K Views
Mh. Msajiri wa Mahakama kuu ya Morogoro, napenda kukutaarifu kuwa katika mahakama ya Mwanzo Nunge kuna Rushwa iliyokithiri. Mahakimu wengi hapo ni changamoto sana kwa wananchi ambao ni wateja wa...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom