Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Wakuu salam, Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi. Edga Mwakabela (Sativa)...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara...
8 Reactions
87 Replies
10K Views
Mh. Rais Samia ,Waziri wa Elimu Prof.Mkenda na Wizara ya Elimu kwa ujumla kwanza napenda kupongeza mfumo huu Mpya wa Samia Scholarship ulioanzishwa kutoa ufadhili wa Masomo vyuo vikuu 100% kwa...
10 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Mfumo wa vyama vingi vya siasa bila Mikutano ya Kisasa ni sawa na kuwa katika mfumo wa Chama kimoja. Nashauri viruhusiwe sasa kwani tumeshavisahau yaani vinavyokumbukwa ni CCM, Chadema na Chaumma...
1 Reactions
3 Replies
536 Views
Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Back
Top Bottom