Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26,769,995 sawa na...
8 Reactions
79 Replies
3K Views
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma (SJMC) kwa miaka kadhaa kimekuwa kikitekeleza mradi unaojulikana kama 'Yearbook' ukiwa ni utafiti...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Wakuu, Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, amesema kuwa ripoti ya tathmini ya namna redio zilivyoripoti Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, iliyotolewa na Shule ya...
9 Reactions
25 Replies
871 Views
Leo, Jumatano Machi 12.2025 kesi za kupinga matokeo na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 2024, zilizofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo zinaanza...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Salaam, Shalom!! Nijuavyo, 1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara ,biasharaitakufa. 2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa...
1 Reactions
16 Replies
575 Views
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa. Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu...
55 Reactions
222 Replies
6K Views
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Geza Ulole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya...
1 Reactions
8 Replies
634 Views
Salaam, Shalom!! HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi. Sasa Kwa kuwa...
20 Reactions
81 Replies
2K Views
Nape Nnauye apewe maua yake kwa kuongea ukweli, kuhusu mbinu Haramu za kushinda uchaguzi. Leo watanzania tunajionea Mbinu Haramu zinazotumika kushinda uchaguzi. Pamoja na ubaya wake na mapungufu...
2 Reactions
5 Replies
302 Views
Wakuu huko mkoani Njombe mambo yameendelea kutokota kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa. Nimekutana na hii clip imenipa sonona sana ambapo Katibu wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe, Stanley...
1 Reactions
3 Replies
264 Views
Wakuu, Crackdown ya kuengua vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inaendelea. Huko Lindi, viongozi wa CUF na ACT Wazalendo wameoneshwa kusikitishwa na hivyo kuwatupia lawama...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM. Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17...
2 Reactions
21 Replies
939 Views
Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi...
1 Reactions
24 Replies
806 Views
Ulitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau. Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu, Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru...
2 Reactions
13 Replies
578 Views
Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo. Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Wakuu, Huu uchaguzi kiboko! ==== Baadhi ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti katika vijiji vya Uswaa, Mamba na Kiselu katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamelalamika kuenguliwa majina yao...
2 Reactions
1 Replies
218 Views
Wakuu, Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala? ===== Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni...
2 Reactions
6 Replies
372 Views
Back
Top Bottom