kura imeishapigwa toka saa 10. vijana wa ccm na wana saccos za mgombea wa ccm wamekaa pembeni ya majumba tyalokaribu na kituo ambacho kipo shule ya kikundi.
Cha ajabu ni uwepo wa FFU. lakini...
Niko kwenye mihangaiko ya kawaida nimemwomba mke wangu akacheki hali ya kituo tuliko pigia kura kama wamemaliza lakini cha ajabu amekuta kimefungwa na hakuna watu na alipo Uliza watu wa maeneo...
Kikwete. Mkapa. Mwinyi and Sons.
Muna haki sawa ya kuitwa Watanzania kama hao munaowaita majuha na makokoto. Kwa hiyo sote sisi na ninyi ni Majuha na Makokoto kwa kuwa sote ni Watanzania.
Sasa...
Ndugu wana JamiiForums, Mtandao wa IssaMichuzi, wana FaceBook na mitandao mingine na Watanzania wenzangu wote kwa ujumla mtakaosoma ujumbe huu, Salaam toka Mbeya Vijijini, ndio tumeanza mikutano...
Nieambia na mke wangu kuwa kuna suzuku Vitara inatint nyeusi imeingizw shuleni kwa ndani kwenye vituo vya kupigia kura ( magari mengine yapo nje) ndani yake kuna askari FFU wanacgokifanya...
chonde chonde watanzania mlioko nyumbani, msituangushe jamani. tumieni fursa hii kufanya maamuzi makuu. maamuzi yatakayotupa faraja sisi na vizazi vyetu kwa kipindi cha miaka mitano ijavyo.
Mwaona...
Saa 10 kamili- mwisho wa uchaguzi 2010. Tusubiri wamalizie walio kwenye mstari, wahesabu kura zetu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atangazwe!
Kwa taarifa gazeti la mwananchi limeweka website ambapo matokeo ya kura wabunge na rais kwa mikoa yote ya Tanzania unaweza kuyapata pale yatakapokuwa yametolewa.
Kwa urahisi nenda...
Jamani,
Saa 10:00 hiyo imekaribia yaani. Lile zoezi la kulinda kura ndiyo wakati wake sasa. Chukua kila unachoweza kama camera, tape recorder na chochote kinachosaidia.
Huwezi kufunguliwa...
Uchaguzi wa Wabunge katika Majimbo ya Mpanda Mjini, Mpanda Vijijini, Majimbo kadhaa Pemba na Unguja umeahirishwa ati karatasi za kupigia kura hazikutosha! Maandalizi yote, gharama zote, muda wote...
Kwa haraka haraka naona majimbo haya ya mijini yanafanana katika uchaguzi huu. Ongeza na ya kwako
1. Ubungo
2. Mbeya Mjini
3. Iringa Mjini
4. Arusha mjini
5. Moshi Mjini
6. Musoma Mjini
7. Bukoba...
Wasimamizi wasaidizi katika vituo wamepata barua katika jimbo la Bukoba Vijijini kuwa kama mtu akija na kitambulisho ambacho hakina picha aruhusiwe kupiga picha.
Mwanzo katika mafunzo...
Habari toka jimboni Ubungo zinasema kwamba Fomu namba 13C hazijatumwa kata zote za Ubungo. Pia wasimamizi wengi hawahesabu kura kwa kusingizia Fomu namba 16 hazipo. Hata hivo fomu hizo ni kwa...
Wana JF,
Mpaka sasa nashindwa elewa vyombo vya habari vinaendelea kujurisha mchakato mzima wa kupiga kura nchi nzima ila cha ajabu mpaka sasa hivi vyombo vyote havija tuonyesha kuwa...
Jana usiku NEC wametangaza kuahirisha uchaguzi katika majimbo matatu na kata nyingi tu mpaka tarehe nyingine itakayopangwa na kutangazwa hapo baadaye.
Sababu ya kuahirisha ni ukosefu wa vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.