Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
tunahitaji kusoma nyakati na kuchungulia ni kitu gani wenzetu wanafanya. ni wakati wa kuwaiga Wamisri na Tunisia ambao walisimamisha mambo yao yote kuhakikisha wanaleta mabadiliko ya kidemokrasia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi kupitia kwa wabunge wake kimelazimisha vyama vya siasa viunde kambi ya pamoja ya upinzani. Kwa kuwa siasa huongozwa na itikadi, basi CCM ioneshe njia kwa kuchagua vyama vyenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona jinsi ambavyo CDM watu tumeshabikia kwa kukubaliana au kutofautiana na CDM kwa kugoma kushiriki mchakato huu. Hata mie nilikuwa moved wakati ule, lakini baadae nikawa najiuliza je hiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nguli wa kufikiri. Naomba nisaidiwe kujua vigezo vinavyotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kugawa majimbo nchini. Zanzibar inawatu wachache kuliko hata DSM lakini ina wabunge wengi katika bunge...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Yesterday incidents in the parliament has made me to believe that CCM are not ready to be corrected by anybody and they are afraid of a strong opposition!! sijui wanachofikiria, lakini najua sasa...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Ndugu zangu wana JF, yaelekea tunashangaa sana yaliyojiri bungeni jana. Kwa wana demokrasia yameamsha hasira tena, lakini ndio hali ya nchi hii. Hebu tujikumbushe: 1. Ili kukwepa Mrema Lyatonga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo katika mahojiano ya channel ten Naibu Katibu Mkuu wa CUF bwana Mtatiro amekiri kuwa CUF inatekeleza ilani ya CCM kule Zanzibar na kwamba ilani hiyo ni ile ile ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh Makinda. Mimi ni miongoni mwa watu waliokupongeza sana ulipochaguliwa. Sio kwa sababu nilidhani kuwa unamzidi Sita, bali kwa sababu niliona wewe nawe unaweza ukipewa nafasi. Sikuamini waliosema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CUF chama kinachounda Serikali ni wao, na chama kinachounda upinzani ni wao pia. Kuna chama kingine chochote duniani ambacho kipo kotekote, serikalini na upinzani? kweli hii nchi ni...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwa kila Mchambuzi na mfatiliaji wa siasa za tanzania,atakuwa aware na jinsi hivi vitu viwili vinavyoonekana ni tofauti kwa mujibu wa wanasiasa wa Tz,hasa Chama tawala. Kila wanaharakati na vyama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na jitihada za kupunguza nguvu za Chadema Bungeni ili kuikweza CUF kuwa na sauti kubwa katika upinzani -- sauti ambayo inaanza kupotea kama ilivyojionyesha katika uchaguzi ulopita, sasa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kikwete, Makamba nani mkweli? Joseph Sabinus SAKATA la malipo ya shilingi bilioni 94/- za Tanzania kwa kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Dowans Tanzania Limited, sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanaJF, Naomba kufahamu, Hivi JK ni rais wetu kweli mbona mimi napata wasi wasi kutokana mambo ambayo yamekuwa yanajitokeza mara kwa mara; 1. Mfano Rais JK anasema yeye haifahamiu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wananchi wa Taifa la Tanzania wanaendelea kudanganywa upigaji kura unamaana fulani wakati "Hakuna Democratic Process" yeyote ile. Tangu mwalimu Nyerere aingie madarakani na mpaka leo hii kaja...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
President Zuma takes delivery of new Airbus 07 February 2011 President Jacob Zuma will tomorrow, 08 February 2011, officially take delivery of the first of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kupokonya hoja ya Mh. Mnyika kuhusu uundwaji wa katiba mpya serikali imetangaza leo bungeni kuwa itawasilisha muswada wa kuundwa kwa Tume itakayoratibu mchakato wa Katiba hiyo katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana-JF nauliza: Kwa nini Rostam anatumia gazeti la T. Daima kama jukwaa ili hali ana magazeti yake. Nazungumza kutokana na stori kuu ya leo katika gazeti hilo, stori ambayo Roistam alikuwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mambo mazito ya kitaifa yaongee kwenye PRESS CONFERENCE, unanipata mkuu, achana na vijukwaa vya wazee wa SISIEM huko ongelea masuala ya propaganda za chama chako, siyo masuala nyeti kama DOWANS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 07/02/2011 // Makala/Tahariri // 5 Comments...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHADEMA watoka nje ya BUNGE tena kwa maslahi ya TAIFA, yakataa NDOA ya lazima na VYAMA `SALITI`......
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom