Najiuliza huy jk vipi mbona hasafiri??? Au kwa vile barafu imeyeyuka ulaya??au lile bembea kule jamaica bovu??au anaogopa kupinduliwa??..maana nchi haitawaliki sasa hivi,..rais yupo kama hayupo...
Bei ya mafuta duniani imepanda ghafla, huku wawekezaji wakielekeza macho yao katika kile kinachoendelea hivi sasa nchini Misri.
Kwa mara ya kwanza tangu kuporomoka kwa benki ya uwezekaji ya...
Yaani hamuwezi kuamini kilichotokea juzi tarehe 26/1/2011 baada ya watu wa airtel kukomba bundle zote kwenye modem. Yaani maisha yetu yalikuwa magumu maana tulishindwa kuaccess jf. Tukakaaa hivyo...
Hawa jamaa wa AU hivi wapo?
Maana sijasikia wakisema chochote kuhusu Tunisia. Vile vile kuna machafuko Misri wako kimya. Hivi AU wana matatizo gani au wanasubiri mpaka waambiwe na UN au Marekani...
WanaJF,
Kwa wale walifuatilia mdahalo wa Jmosi uliomhusisha Mzee Pius Msekwa watakumbuka hoja mojawapo ya mzee huyo ilikuwa ni kutenganisha kati ya katiba na utendaji. Mzee Msekwa anataka...
Duniani kuna miono tofauti kwa kuwa sisi binadamu pia tumeumbwa tofauti!
Tukija kwetu Tanzania na tuchukue makundi tuliyo nayo na kuyalinganisha, tunaweza kuona tofauti hiyo!
Mfano, nimeona kwa...
WAZIRI Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Bw. Cleopa Msuya amesema kwa jinsi vuguvugu la kisiasa lilivyo kwa sasa nchini, si ajabu chama kingine
tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua...
Serikali ya ccm na wabunge wake wamekuwa wakiwatangazia wananchi eti huduma za afya kwa watoto chini ya m5,wajawazito na wazee matokeo yake wanakuja na kukuta huduma hazipo, matokeo yake manesi na...
Jamani hivi ni lini Mkuu wetu wa nchi atatulia nchini na kulitumikia taifa...! Hivi sasa yupo huko Geneva, Swiss...! Hivi hizi safari zake zina maslahi yoyote? :sad:
Rais Jakaya Kikwete...
President Mobarak has refused to step down,but asked his cabinet to resign,new govt to be formed..atabana ataachia tu,people's power sio mchezo source:breaking news-skynews
Kamati kuu ya chama cha wafanyakazi wa Rili hapa tz (TRAWU) limetaka maelezo kutoka serikalini kama kweli mkataba wa serikali na RITES umevunjwa. Hii ni kutokana na RITES kuendelea na utendaji wa...
Hi JF, Serikali baada ya kupandisha bill ya umeme kwa 18% sasa nimeona wizara ya maliasili imetangaza kuchukua ushuru kwa watumiaji wa mkaa. Tangazo ambalo limetolewa kupitia star tv kuwa...
Jk amerudia tena kauli ya membe kwamba serikali yake inapinga Bw. Gbagbo kuendelea kung'ang'ania madarakani wakati ushahidi upo wazi kuwa alishindwa uchaguzi. Ama kweli nyani haoni ku......
nafuatilia mdahalo wa katiba mpya itv. Mwenyekiti ni mbish, Msekwa ni mbish na Wachangiaji ni wabish. Kipindi kinaelekea kuisha na hakuna chochote kilichoongelewa. Tatizo ni ubish wa mwenyekiti na...
wajukuu zangu nipo mbele ya tv naangalia. ni mengi yamezungumzwa na mengi tumeyaona.
nimepata jambo moja ambalo nafikiri ndilo la msingi sana pamoja na mengine mengi yaaliyojitokeza....NINI...
Waafrica wanajokomboa polepole bila watu kujua. Ivory Cost wanataka serikali mpya, Tunisia hawamtaki dicteta, Nigeria wamechoshwa na rushwa, Tanzania wamechoshwa na rushwa na Egypt wamechoshwa na...
Eti, ukiwa na viongozi wanaondekeza makundi, udini, uswahiba, ushirikina, visasi na jeuri ya utu uzima, hatuwezi kuwa na chama kinachoweza kuidhibiti serikali ili iwe na nidhamu!:laugh:
NEC ni tume ya uchaguzi au ya ushindi wa CCM?
Prudence Karugendo
MOJA ya vyombo nyeti katika uhai wa usalama wa nchi yetu ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.