Kwanza siombi hiyo hali itokee! Na mungu haepushie mbali kabisa.
Nikiwa kama mwanachama hai na mpenzi mkubwa wa hili CHAMA[chadema]
ambae nimekunywa hadi maji ya rangi ya bendera yake. Nina...
Wandugu,
Wazee wa imani zote watujuze, hivi kweli huko kunakoitwa jehanamu kuna mateso zaidi ya haya wanayoyapata sasa watanzania?? Wakati kipato cha mtanzania wa kawaida kipo palepale na wakati...
Katika vikao vyote vya bunge hiki cha 10 kitakua ni historia kwa nchi. Mpaka ccm wanaitana kupeana semina elekezi.? mambo ni mazito. Kuna kipindi nilionaga kwenye news kuna wabunge walichapana...
Wana JF mhe Pinda alionekana kuwahakikishia watz kuwa mahakama ya kadhi itaundwa chini ya system za dini ya kiisilam,laki makamu wa Rais Dr Bilal aliwahakikishia waisiilamu kuwa kiliochao...
WADAU,
na wasalim jina la ukombozi wa nchi yetu,
Napenda kutoa hoja ya haya, kwanini wazee wa EAC na wafanyakazi wote wa nchi hii wanaodai taifa letu madai na malimbikizo mengi wasiingie...
Wandugu wapendwa,
Maandamano ya Jumamosi Dodoma yalikuwa mazuri. shukurani za pekee kwa jumuiya ya wana UDOM kwa kujitokeza kuyapamba. maandamano haya yalitokea ofisi za mkoa Dodoma, yakaenda...
Juzi katika mkutano mkuu wa wabunge wa CCM pekee uliofanyika pale Ubungo Plaza kwa udhamini wa bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, waziri Mkuu, Pinda aliwaagiza wabunge wa CCM kucha...
WanaJF wenzangu leo ninafuraha sana baada ya kuwa msindikizaji na mwanaharakati wa chama cha Chadema baada yazikubali sera zake kwa muda mrefu, hatimaye leo nimekwenda ofisi za Chadema mkoa hapa...
Upeo wa kufikiri wa viongozi wa CCM ni mdogo sana. Niliduwazwa na mkwara-mbuzi wa UVCCM wa kuwafokea 'Baba Dhao' na kujidai ni matakwa yao. Kwanza nikafikiri kuwa vijana wa CCM ni makini na...
Mkurugezi wa wilaya ya Arusha mjini ameingia mchecheto wa kilicho jitokeza Arusha tarehe 5-1-2011, baada ya kuamuru wenyekiti wote wa vitongoji kufanya mikutano na wakazi wa vitongoji vyao ili...
Bodi ya mikopo imekuwa ikilalamikiwa mara kwa mara karibia na kila kundi miongoni mwa jamii ya watanzania kwamba haifanyi kazi kwa ufanisi na hasa imekuwa ikichelewesha mikopo kwa wanafunzi...
Mtoto wa JK RIdhiwani amekuja juu na kuwakebehi viongozi wa CCM kwa kutowajibika bali kamsifu Msekwa..............................
SOURCE MAJIRA JUMAPILI.......................
Hivi Mtoto wa JK...
Nawasihi chadema waunde kambi yenye nguvu kushirikiana na vyama vingine vya upinzani bungeni.wasahau yote yaliyopita wawe wakomavu wa kisiasa.kamawameliweza hili la kuamsha umma katika mijadala ya...
A United States-based company, CPS Energy, may take over controversial Dowans Holdings (Tanzania) Limited, which expects to easily ‘fetch' $62 million(Sh95 billion) from Tanzanian taxpayers...
Taasisi iliyobobea kwenye utafiti wa kiuchumi na kijamii (ESRF) imesema kuwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita, serikali imejitatahidi kutekeleza malengo ya dira ya taifa ya 2025 na changamoto...
Wakuu,
Salaam.
Muda huu ninapoandika ni kwamba Makumira University kunaendelea tamasha kubwa sana la vijana wanachuo linalohus mwelekeo wa taifa letu na vijana.
Makamanda wa CDM waliopo ni...
CCM hatarini kushitakiwa
Na Mwandishi wetu - Imechapwa January 2011
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeingia katika mgogoro mpya na mwekezaji na huenda kikafikishwa mahakamani na hata kufilisiwa...
Wadau, wakati sasa umefika tutafute namna ya kupima uwezo wa Mawaziri wetu maana huwa nashawishika kuamini kuwa Mawaziri wengine ama wana damu tu ya kunguni (hawapendwi) au si wawajibikaji au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.