Wazee,
Nimesikia kwenye dodoso za magazeti kwamba tariri ya gazeti la Mtanzania inapinga namna uchaguzi wa Meya Arusha ulivyoendeshwa kihuni kwa kuhusisha vyama viwili tu vya ccm na TLP na mbaya...
Sitta: Nilitemwa uspika kwa hila za vigogo Send to a friend Sunday, 19 December 2010 21:27 0diggsdigg
Mr Samwel Sitta
Tausi Mbowe
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta jana alitoa kauli...
KAMA HATA MHE MBUNGE HAYUKO SALAMA WANANCHI TUKIMBILIE WAPI???
Kwa kitendo hiki cha ajabu (Askari Polisi Kumpiga Mh Mbunge) sana kuwahi kufanywa nchini mwetu, WAZIRI WA MAMBO YA NDANI PAMOJA...
Na Maggid Mjengwa,
WAKATI wa uhai wake, Profesa Abdulrahman Babu alipata kusema kuwa ukichanja mwili wa Mwafrika basi, kwenye damu yake utaona kuna chembe chembe za mkulima. Profesa Babu...
Wana FJ nachoshwa sana na hili shirika letu la kuzalisha nishati haba ya Umeme, vyanzo lukuki vya kuzalisha nishati ila ndo kila siku visingizi, hivi lini na kwa vipi huu ukiritimba utaisha...
Stars yaalikwa Misri
POULSEN KUANZA KIBARUA NA WENYEJI
na Mwandishi wetu, NAIROBI, Kenya
TIMU ya taifa soka ya Tanzania Taifa Stars ni kati ya timu tano zitakazoshiriki...
We need a new Tanzania, says Prof Shivji
By Edwin Agola, The Guardian, Dar es Salaam, Tanzania
21st December 2010
Renowned scholar and Mwalimu Nyerere Chair in Pan-African Studies, Prof Issa...
Amepiga marufuku matumizi ya kifisadi ya watendaji wa wizara yake kulipana posho za hovyo hovyo, kununua mashangingi TANAPA badala ya magari ya porini, kusafiri nje ya nchi hovyo hovyo. Awasuta...
Has Tanzania become an elective dictatorship? Read on what elective dictatorship entails (edited):
http://en.wikipedia.org/wiki/Elective_dictatorship
An "elective dictatorship" (also called...
LONDON (AP) A British judge on Tuesday sentenced defense contractor BAE Systems PLC to pay a fine of 500,000 pounds ($775,000) for failing to keep proper accounts of payments made to an...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa...
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, anadaiwa kufichua siri za Rais Jakaya Kikwete kwamba kiongozi huyo wa nchi asingependa vigogo serikalini...
Kuna yeyote ambaye anaweza kutupatia listi ya matawi ya CHADEMA pamoja na idadi ya wanachama wake. Ninaamini katika kufahamu hili inaweza kusaidia kuongeza kasi ya kufungua matawi na watu kujiunga...
Wachungaji hawa mimi nawatabiria Watakufa na Makanisa yao,
Kwasababu hazina Kichwa wala miguu, na sijui makao makuu ya Makanisa hayo, na Kama hayapo kibiashara, sasa wanafanya nini hapa Tanzania...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amedai kipigo alichokipata kutoka kwa Jeshi la Polisi mkoani hapa, wakiongozwa na Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Zuberi Mombeji, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.