Professor Watson, mtaalam aliyebobea katika mambo ya vinasaba (DNA), alitueleza kuwa watu weusi tunavinasaba inferior kulinganisha na watu weupe, ilizua mjadala ambao ulijikita katika mazingira ya...
Katika gazeti la Mwananchi, December 2, 2010; imeandikwa:
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limeamriwa kulipa fidia ya Sh106 bilioni kwa kampuni ya ufuaji umeme ya Dowans Tanzania Limited baada...
Natoa tamko kuwa habari ya Jamboleo ni ya kutunga yenye lengo la kugawa uongozi wa CHADEMA na kuleta mgogoro.
Kumekuwa na habari kwenye magazeti kitambo sasa zenye kuonyesha mgogoro ndani ya...
Angalia Azimio la Arusha, 1967.
"TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYONYWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMEPUUZWA KIASI CHA KUTOSHA. UNYONGE WETU NDIO ULIOTUFANYA TUONEWE, TUNYONYWE NA KUPUUZWA. SASA...
salam za OB kwa JK kama alivyozipost michuzi. salamu hizi zilizotoka baada ya kimya kikuu kirefu zimetumia fasihi ya ajabu kufikisha ujumbe. zisome, tafakari chukua hatua.akili ni nywele kila Ntu...
Africa ni bara ambalo ni zuri sana! Lina mimea mizuri ya asili,mito,bahari,madini kila aina,milima
mbuga mzuri za wanyama,wasomi na viongozi wa taasisi mbalimbali. Nadiriki kusema mungu ali...
Uchakachauaji wa Bajeti iliyowasilishwa bungeni na ile iliyopelekwa kwa wahisani, nani awajibishwe? Na kifanykike nini serikali iwache kuchakachua?:angry:
Safari hii jasho litawatoka mawaziri na spika wa sisiemu mjengoni!!!!!!! Kabla hata miswada ya Tume Huru ya Kuchunguza matokeo ya Uchaguzi, Kuandika Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi (Kuwafukuza...
Viongozi wetu wakisafiri umati wa viongozi na wananchi wengine huenda 'eapoti' na wakirejea hupokelewa kwa mbwembe....nini kinawasukuma watu kuacha kufanya kazi na kupoteza muda na rasilimali...
David Kafulila mbele ya microphone.
Mbele ya macho ya Watanzania.
Anasema (nanukuu):
"Kama Watanzania wangezingatia sera za vyama wakati wa kuchagua viongozi, basi chadema kisingeshinda"...
Kutokana na wizara hiyo kupewa askari wa ukweli inasemekana ndo itakuwa wizara bora kutokaxa na kombinesheni ya dokta Pombe na dokta Mwakyembe,ama kweli wizara ya ukweli hii
By DAILY NEWS Reporter, 6th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 4
THE government is working on a strategy that will ensure Senior Citizens in the country receive medical treatment...
WanaJF ivi toka mwaka 1964 baada ya kuanzishwa kwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,kila tarehe 31 ya Disemba uwa tunasherekea uhuru wa Tanganyika au Tanzania? Maana kama ni wa Tanzania,then...
JK wakati analihutubia bunge alisema kulikuwa na udini kwenye uchaguzi na atajitahidi kutibu makovu. Waelewa tulijua kuwa CCM ilitumia udini na sasa wanataka kuacha udini baada ya uchaguzi. Cha...
Kundi la wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) limeibua kashfa baada ya kueleza kuwa serikali iliwapelekea bajeti tofauti na ile iliyopitishwa na bunge julai mwaka huu.
Taarifa za...
Hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA imeelezwa kwamba ni shwari na hakuna matafaruku utakaotokea.Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni,Tindu Lissu,pamoja na Naibu katibu mkuu wa chadema Zitto...
MWENYEKITI wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema (TLP), amemvua madaraka Mwenyekiti wa Kijiji cha Kyala, Kata ya Marangu Magharibi, Agustino Fabiani kwa madai ya unywaji wa pombe...
Wana JF kama tujuavyo kuwa Alhamisi ijayo itakuwa siku ya kukumbuka uhuru wetu kutoka katika ukoloni. Najua watanzania kwa maelfu watakusanyika pale uwanja wa uhuru kuhudhuria hizo sherehe.
Sasa...
Kukosekana kwa bunge imara lenye maono yakinifu yamepelekea taifa kuingia katika janga la ukosefu wa uhakika wa nishati ya umeme, utendaji mbovu wa TANESCO na kuongeza machungu ya maisha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.