Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amesema atafungua kesi mahakamani kupinga uamuzi wa Nec kumuengua katika kinyang’anyiro cha urais. Mtikila, ambaye alienguliwa kwa madai ya kutotimiza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
mbunge wa kigoma kusini ana mpango wa kupeleka hoja binafsi ya kutokuwa na imani na waziri Ngeleja kutokana na issue ya umeme na mgao usioeleweka! Hakumtaja Ngeleja kwa jina bali kwa cheo chake...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Badala ya kujunguana hapa JF basi tuangalie na hili... Hali mbaya sana kwa wauguzi.. Hapa ukiwa na Malaria Sugu lazima ufwe Kwa kweli tanzania ni pabaya hasa unapotawaliwa na wasanii ambao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajf, salamu. Ninajiuliza kwa nini umoja wa wanawake wa ccm wanaendelea kujiita UWT sijapata jibu. Kwa nini mama yangu na wengine wasio wa stail ya Sofia simba wanaendelea kuingizwa...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Ndugu zangu nimepatwa na mshangao mkubwa kuona aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NDANI (USALAMA WA RAIA) na mwanasheria kwa taaluma kuondoka na samani za OFISI YA MBUNGE WA BUNGE LA JMT. Naomba...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
*** HAYA RAIS WETU KAANZA NA SAFARI ZA NJE... AMECHAGULIWA SIKU 30 ZILIZOPITA HAONGELEI MATATIZO YA UMEME, MAJI NA MADENI AU ANGALAU KATIBA MPYA? PRESIDENT Jakaya Kikwete left Dar...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Viongozi wa CCM Kila Leo Wanajitanza Wamefanikiwa na Wanaendelea Kupambana kwa Nguvu na Mali Kumaliza Rushwa. Hii ni Kweli Jamani? Kama ni Kweli Mbona Inchi Ingekuwa Mbali na Matokeo Tungeyaona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikimsikia Pinda na kauli mbiu yake kuwa yeye ni mtoto wa mkulima na akiwa akifanya vitu ambavyo binafsi naona kama vile mama theresa anavifanya sio mtendaji wa serikali. Pinda ajue...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JK hajasafiri nje mpaka sasa !! Safari ya kwanza itakuwa ya wapi? Tutafaidika vipi? Atasafiri mara ngapi katika muhula wake wa mwisho? Safari zitapungua? Mpaka sasa mwanzo mzuri, hajasafiri bado...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Mwalimu aliwasema vizuri CDM, kwa nini nyie CDM hamjasema vizuri? Nauliza kulikoni? Nyerere maisha yake yalipofikia mwisho aliicha familia ambayo kwa hakika inapendwa na watanzania hasa kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salakana aahidi kufufua viwanda na Grace Macha, Moshi MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Justin Salakana, ameahidi kama akishinda ataongea na Rais...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ccm
Ccm is no longer a political party but a mode of production
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tanzania kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukisumbuka na swala zima la nishati ya umeme... kama tutakumbuka mgao umeanza takriban wiki moja tu baada ya kutangazwa matokeo ya Uraisi kwa nini muda hou...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii imenishtua sana nimeona niwashirikishe wana jf,tuijadili kwa kina,(http://www.youtube.com/watch?v=Cq6mWp7_blo&feature=player_embedded#!)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zitto na chadema shida nini wanaharakati tuambieni nani anasimamia ukweli
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepita Dodoma mjini kwa kweli ukiangalia mzunguko (ROUND ABOUT) wa pale Oil Com kama unakaribia ukumbi wa bunge na CBE yaani maua yake yamegeuka uchafu hayapendezi hata kidogo hakuna watu wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MIKAKATI ya kuwakwamisha kiutendaji Waziri wa Ujenzi, John Magufuli na Naibu wake, Dk. Harrison Mwekyembe, inadaiwa kuanza kuandaliwa na vigogo wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
uongozi wa chadema ulipata maono kwamba nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa kimfumo kwa kufumua bila huruma (kumkoma nyani gilad) mfumo uliopo sasa Licha ya kuwa Mfumo uliopo una malengo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Let's unite. Just like we did in 2010. We do that thrice in 2015. To teach CCM a lesson. We are intellectuals, right? If we can't liberate our nation from the dirty hands of corrupt leadership...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Katika kukua kwangu nimekua nikisikia sifa tofauti tofauti kuhusu wa tz,baadhi ya sifa izo ni kuwa wapole,wasio penda purukushani,wasiojua kudai haki yao,waungwana,watu wa yes sir etc. Nikiwa ktk...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom