WANASHERIA wote walio na maarifa timamu hapa Tanzania na duniani kwa ujumla wanakubaliana angalau katika jambo moja muhimu kuhusu uendeshaji wa nchi.
Jambo hilo ni kwamba agizo kutoka mamlaka...
Jamani,
Napenda kujua tu kuhusu madhara au manufaa yatokanayo na muundo huu mpya wa serikali kwa wafanyakazi wa idara zilizohamishwa je watahama?
Na wanakohamia kama watahama watahama na...
WAKATI baadhi ya Watanzania wakifurahia kutangazwa kwa baraza la mawaziri huku baadhi yao wakionekana kufurahia Uteuzi wa Waziri wa Ujenzi John Magufuli na ule wa Prof. Anna Tibaijuka, uteuzi huu...
NYUKI na Mbu ni wadudu wenye kungata na kusababisha maumivu. Kuumwa (kungatwa) na wadudu hawa kunakera na kuhatarisha maisha.
Katika mchakato wa maisha yao, hatimaye mbu husababisha malaria au...
WANASHERIA wote walio na maarifa timamu hapa Tanzania na duniani kwa ujumla wanakubaliana angalau katika jambo moja muhimu kuhusu uendeshaji wa nchi.
Jambo hilo ni kwamba agizo kutoka mamlaka...
Nimesoma gazeti moja litokalo kila wiki leo (Mwanahalisi-ukurasa wa pili). Gazeti hilo pamoja na mambo mengine limeeleza madai ambayo yameorodheshwa na Viongozi wa CHADEMA katika kikao...
Mh. Rais wa JMT Dr. Jakaya M. Kikwete ameisha tangaza baraza lake la Mawaziri. Sasa hebu tupeni hilo la CDM wao wangekuwa na wizara ngapi na mawaziri wangekuwa wakina nani?
1. Waziri Mkuu - F...
UTAMADUNI....
Kwani kikwete ametangaza wizara zake kama amekurupuka usingizini due hakuna wizara aliyoipangia kusimamia shughuli za utamaduni na wasanii.
au ndo tumeachwa huria??
last era...
According to Mgombea umeya Mwanza Tiketi ya Chadema Chagulani Adams Ibrahim (25); amesema iwapo atachaguliwa atahakikisha elimu kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne itakuwa bure Mwz...
Somo kuu katika baraza hili nikuwa Bernard Membe ni chaguo la CCM kwa 2015.Interesting kuwa kunawezekano wa rais wanne mfululizo wanaweza kutoka mkanda wa pwani tu. Hii ni coincidence au?
Takukuru wameshindwa kubaini aliyeiba 40bn/- mali ya Umma wa Watanzania kupitia Kagoda -- hela zilizopitia katika akaunti za matawi ya CRDB -- na ilikuwa kazi rahisi kuwauliza CRDB walilipa zile...
Tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa...
Muda huu unaopita, jk anamalizia kutangaza Baraza la Mawaziri. Mpaka dakika hizi za nyongeza, jina la EL bado halijatokea. Na kwa kuangalia tu kwamba Wizara zinanazoendana na HARAKATI zake...
jana wakat wabumge wa chadema wanatumia haki yao ya kikatiba kumsusia rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambaye wanaamini kuwa hakupatikana katika uchaguzi huru na wa haki, wabunge wa vyama...
Mwanzoni nilidokeza mikakati inayoandaliwa kuimaliza cdm miaka mitano ijayo kuwa ni pamoja na kuwatumi "virusi" waliotumwa maalum kwa kazi hiyo ndani ya cdm. Virusi hao ni mapandikizi maalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.