Wamhenyesha kuvunja kanuni kumbeba Sophia Simba
Na Salehe Mohamed, Dodoma
NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai, juzi alianza kuonja machungu ya kiti chake baada ya kukaliwa kooni na wabunge...
Baada ya makelele mengi hapa jamvini hatimae serikali imemfikisha india kwa ajili ya matibabu ..india aliekuwa mh hawa ngulume
pongezi kwa hili natumaini nexty tym amtosubiri kelele za jf...
UCHAGUZI Mkuu wa 2010, umeelezwa kuifikisha pabaya CCM, kwa kuangushwa na wapinzani katika majimbo mengi yaliyo kwenye majiji makubwa na makao makuu ya halmashauri za wilaya nchini, hali...
Wadau nimekuwa nikisikia huko nakule kuhusu CHADEMA KUGOMEA RAIS AKIINGIA BUNGENI!Mimi nauliza nini madhara yake wakifanya hivyo??Je nini tija yake wakifanya hivyo??Na kuna faida gani kwa wapiga...
well its seems to be normal but it isnt the really situation that we may have in our college.being far from the city of dar really affecting what happening over here.
most of collegues have been...
Ndugu wapenda demokrasia,sasa wawakilishi wa watanzania bungeni wameanza kuonekana kutumia haki ya kidemokrasia kukataa kuburuzwa,bali kwa msimamo wa pamoja wa kutokubaliana na udikteta. Ni jambo...
Wengi Tunakumbuka Mahali na Sauti ya Mwalimu Nyerere Alipokuwa Akisafiri Inchi za Afrika na Duniani Kote. Nyerere Aliheshimika Sana kwa Misamamo Yake Kwenye Kila Swala Duniani. Tukianzia Afrika...
Nipo ughabuini Brazil ambapo nako siku hiyo hiyo walikuwa na uchaguzi. Majibu ya Rais yalitoka hadharani masaa 6 badaa ya kufunga kupiga kura huko kwetu kuna mdudu gani kama si wizi mtupu...
Mgombea wa kiti cha unaibu spika kupitia CUF alisimama na bila woga akaidhinisha kwamba CUF ina muafaka na CCM na tayari wana dhamira ya kushirikiana, basi anajitoa na kusubiri CCM imuunge mkono...
Dr.Slaa atakuwa live kwenye kipindi cha 5CONNECT kinachorusha na East Africa Tv leo jioni kuanzia
saa moja usiku hadi saa mbili.USIKOSE !!.
SOURCE: EATV
Tume ya uchaguzi NEC imebadilisha matokeo ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Vunjo baada ya kugundua ilitangaza matokeo tofauti na yale yaliyotangazwa awali na msimamizi wa uchaguzi.
Nec imetangaza...
Haya tena kile watanzania walichokua wanakisubiri kwa yule Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda AKA Mtoto wa Kilimo kwanza kashaapa kulitumikia taifa la watanzania kua waziri Mkuu kwa awamu ya...
mjumbe wa Bunge la SADC-PF ni Mohammed Habib Mnyaa (Mkanyageni-CUF), ambaye alitangazwa mshindi kwa kura 275 dhidi ya kura 47 za mgombea wa CHADEMA, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa...
Kwanza niwaombe kabla ya kuchangia vitu vifuatavyo mviweke pembeni...
(i) U-CCM na U-CHADEMA wenu na ule u-CUF sijui na Udovutwa n.k
(ii) Ubongo wa kunyanyaswa kibeijing kwa kuletewa thread ya...
Ni sahihi kabisa kutomtambua rais aliyeingia madarakani kwa kuiba kura! Leo wakati wa kuapishwa waziri mkuu, kumekuwa kuna maoni mbalimbali eti CHADEMA kususia HOTUBA za JK sio vizuri.
WATANZANIA...
Baada ya kupata nafasi kubwa sana Bungeni na kuweza kutoa Kiongozi wa kambi ya upinzani,, sasa tumejiwekea nNafasi nzuri kwakuwa na wabunge wengi kuliko vyoama vyote pinzani...
Tunawashukuru...
http://http://www.youtube.com/watch?v=yOyo4MDOJko&feature=related
Hii alijua kuwa yeye ni yeye tu na hakuna mwingine kumba Wenje Alikuwepo.
Hii ni kuwaambia wabunge vijana wote wawe makini...
Kulikuwa na taarifa kuwa kuna ajent wa kampuni moja ya simu alichukua vitambulisho vya wapiga kura takribani mia nne(400) ili kuzitoa kopi waweze kusajili namba zao, ila akatokomea nazo.tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.