Ninaomba JK atii wito wake wa ndani ya mtima wake na aweka baraza litakalomsaidia.
Waziri Mkuu- Andrew Chenge
Waziri wa fedha: Edward Lowasa
Waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa_ Rostam...
Achangiwa fedha kumkatia rufaa Limbu
Na Cosmas Mlekani
16th November 2010
Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza, juzi walikatiza hotuba ya aliyekuwa mgombea Ubunge wa Chama cha...
Inanishangaza sana kuona chama cha upinzani nilichokuwa nakiheshim(cuf) kimechakachuliwa.Hivi ilani na malengo ya cuf kama chama cha siasa yameshafikiwa?CUF ilisajiliwa ili ilete maridhiano na...
Tunajua Uchumi wa Tanzania Haueleweki. Wananchi Wanaumia Sana Kutokana na Katiba ya Inchi Kutofanya Kazi kwa Manufaa ya Wananchi. Katiba ya Inchi Inazungumzia Usama na Haki za Kila Mtanzania...
Kwa sisi tulio nje ya mjengo kwa kutazama tu katika runinga mapema kabisa hata kabla ya vikao kamili kuanza kwamba tumeanza kuona dalili za wazi za mwelekeo wa mgawanyiko wa haraka haraka kwenye...
Nashuhudia mh dr H.mwakyembe akiwa karibu kabisa na speaker mstaafu Sitta kwenye kikao cha kupitisha jina la PM.wanaonekana kuteta kwa furaha.je hii inamaanisha sitta amejiunga na kambi ya...
Nimefuatilia hatua zote tangu upigaji kura hadi utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mku kwa upande wa Zanzibar lakini mpaka muda huu najiuliza hivi nani alishinda nafasi ya urais Zanzibar..ni CUF au...
Wapiga kura walio chagua wabunge wa CUF wametapeliwa, wapiga kura waliwapigia kura ili ikiwezekana washike dola kama sivyo wawe wapinzani wa serekali itakayo shinda wao wameenda kinyume na dhamira...
Nilisikitishwa sana kuona unafiki uliovuka mipaka wa wabunge wa chama cha mapinduzi hususani kwenye uchaguzi wa Spika jana.
Kila mtu anafahamu mchezo uliochezwa na mafisadi kumwingiza Chenge...
Hivi hawa CUF ni CHADEMA au CCM walipaswa kuunda nao kambi huyu???
Mgombea mwenza wake kawa waziri wa Afya kule Zanzibar kwa kweli sielewi wanataka nini kwenye kambi ya upinzani...
Mimi...
Sita Kuanguka Kwenye Mtego wa MAFISADI pale CC ya CCM INAMAANA GANI????
Kumbukumbu kule bunge la Tisa zinaonyesha kwamba SIX alikua ni mwiba mchungu kwenye ngozi ya Kijiwe Cha Walarushwa nchini...
Slaa apasua jipu kuwa hamtambui JK b'se ni result ya uchakachuaji; Mbowe akakazia kuwa ni msimamo wa CHADEMA
Source: STAR TV news 20hrs
Na Nation wameandika hivi:
By FLORENCE MUGARULA, Daily...
GENERAL
ID No.: 1038
Salutation: Honourable
First Name: Mizengo
Middle Name: Kayanza Peter
Last Name: Pinda
Member Type: Constituency Member
Constituent: Katavi
Political Party...
Kamati kuu ya CCM inayomaliza muda wake mwaka 2012 imeacha 'legacy' ya kukumbatia ufisadi na kukigawa chama cha mapinduzi. Kati ya wananchi wa Tanzania na Mafisadi kamati kuu ya CCM imechagua...
Kwa mtazamo wangu nimeyapokea matokeo ya uspika (makinda kura 265 na marando kura 53) kama kuna upizani ndani ya kambi ya upinzani ambao ulianza wakati wanachagua kiongozi wa kambi ya upinzani...
Zanzibar au Tanzania Visiwani kama inavyojulikana inachangia kiasi gani cha bajeti ya Serikali ya Muungano? Kwa mfano tunaona wabunge wengi wa kutoka Zanzibar na pemba kuingia kwenye bunge la...
Jamani hayo maandishi meusi yana uhusiano na ujumbe aliopeleka Obama na running title waliyoweka the Guadian?? Mbona waTz tenapendelea kudangany'ana kila siku ?? Yaani media za Tz ni zero!! US...
With honour I hereby submit few querries to hon.dr Slaa,lissu ,mdee,zitto,myika and chadema followers who are available at Jf on few constitutional issues as follows: first,sec.51(3) is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.