Ndugu Wana JF,
Napenda kutoa pendekezo kwa uongozi wa Chadema kuanzisha Database ya computer itayotunza kumbukumbu muhimu za wanachama wake kama vile Majina kamili, Anwani za mwanachama, Number...
wana JF,
nimejiuliza hili swali nimekosa jibu, nikaona si mbaya wacha nilisogeze sebuleni, kama inatokea mmoja kati ya watu waliothibitika kwa ufisadi akaomba uanachama wa chama chetu (CHADEMA)...
Nimependa sana mijdala inayohusu vyama vilivyogombea upinzani uliojitokeza ni wa juu sana unaoimarisha demokrasia ya nchi yetu, sikufurahia kebehi na matusi ambavyo vlinionyesha udhaifu binafsi wa...
Kuna njia nyingi za kuingia mjengoni na siyo lazima uwe na kundi maalum la uwakilishi. Hatimaye yule dada afisa wa benki kuu na mburudishaji wa wakuu, asiyeogopa hadhira katika mavazi yake kaingia...
NAJITOKEZA KUIPONGEZA CCM SIKU CHACHE BAADA YA KUCHAKACHUA KURA NA KUPATA KUSHINDA UBUNGE NA URAISI KILOMBERO,BEI YA CEMENTI YAPANDA KUTOKA 12,500-14,000 KWA MFUKO,NA HIYO NDIYO MAANA HALISI YA...
Nimekuwa nikitafakari kwa muda juu ya mfumo wa elimu ya juu kwa nchi yetu na mchango wake katika kuleta maendeleo ya Mtanzania wa sasa.Ni dhahiri katika elimu ya juu ndipo ambapo taifa hili...
Mimi ni mwanajamii mpya na hii ndo post yangu ya kwanza.
Mimi nasikitishwa na tatizo la kikatiba lililopo ambayo inampa rais madaraka kupita kiasi, kiasi kwamba nchi inakuwa kama kampuni binafsi...
Kama kwamba kama kuna watu wa Graphics wa hali ya juu leo nimeona kioja kwenye gazeti la Udaku la leo , Yaani wamewatoa Chenge na Sita wameshikana koo UK RA Akimpiga Mguni na EL akikaba koo, kam...
I have been thinking lately all about our nation Tanzania, I have found out that us Tanzanian we can easily complain about our under-development or lets say slow development to politicians. Its...
Viti maalum zimetangazwa. Chadema kimepata viti 23, hongera sana.
Jinsi chama kinavyopigania haki kwa wananchi sikutegemea kama nao hivyo viti watagawana kwa upendeleo mkubwa.
Kuna mkoa kama...
1. Kuwa karibu na wanachi hadi wakuzoee na kukuamini.
2. Ujichanganye na wananchi hadi wakuone ni mwenzao.
3. Utumie kwa uangalifu ushawishi wako na elimu yako hadi ilete mwanga mawazoni mwa...
Mwaka huu na kuendelea, kila baada ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, kufanyike upimaji wa mimba na Ukimwi kwa lazima.
Tunataka tujua kama kweli wabunge wote 95+ wa viti maalumu, wanakwenda...
Nimekua nikijiuliza hawa wanaowapa kura hawa ccm kama wana akili timimamu,coz watu wametuongoza kwa miaka 50 nchi imetapakaa umaskini mpaka kwenye kucha,mahospitali hakuna dawa wala madaktari wa...
KJ hana ubavu wa kuacha kumteau January Makamba kuwa Waziri kamili au Waziri Mdogo:
Najua JK akiona hii atakasirika sana, hapendi kuonekana anafanya kama mnavyotarajia.
Atamteua January kwa...
Wana JF tunaomba update yanayojiri kutoka kwenye kikao cha CC ya CCM Dodoma....tujue kama mkulu(Malaika) ataweza kmvalisha paka kengele kama alivyofanya mazee Mwinyi kwa Malecela....kumtosa...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA amesema, Chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani bungeni vyenye nia ya dhati ya kufanya hivyo.
Amesema, kwa maana hiyo CHADEMA imeacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.