Ndugu wanajamii, nimepata tetesi kuna mpango kabambe utakaoendeshwa na polisi hapa Arusha kwenye majimbo yote ya uchaguzi hapa Arusha , kwa kuwa ccm wameshaandikisha watu wao, watakama woote ambao...
Ni furaha iliyoje kuwa tar. 31 nitapiga kura kwa kuwa jina langu limeonekana kwenye mbao za ambako majina yaliyobandikwa na NEC. Nimehakikisha kuwa na kujiridhisha kuwa nililoliona ni jina langu...
NA DUNSTAN SHEKIDELE,MOROGORO
MAMA mmoja Fatuma Hasani,(pichani, aliyekaa) mkazi wa eneo la Bwawani mkoani Morogoro wiki iliyopita alianguka katikatika ya reli ya kati eneo la Tanesco na kupoteza...
Tuanze hapahapa kujumlisha idadi ya wapiga kura kila kituo inavyowezekana. Ni kiasi cha wewe kutembelea kituo chako na kuweka idadi kama ambavyo majina yalivyobandikwa. Na kama sijakosea majina...
Habari zenu Watanzania wenzangu na poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu hili changa.
Baada ya salamu kwenu nimeona si vibaya nikapata ujuzi na uelewa zaidi juu ya masuala mbalimbali ya...
Yaani huwezi amini. Zikiwa zimebaki siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika WASIMAMIZI WA VIYUO VYA KUPIGIA KURA bado hawajafahamika mpaka sasa.
Mimi nipo katika mkoa wa Dar es salaam. Na...
Nini hatima ya wafanyakazi serikalini endapo CHADEMA itashinda??manake naona kama kuna wizara na vitengo vitafutwa kwenye serikali mpya ya chadema, nini hatima yetu au wasi wasi wangu tuu??
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, jana alilazimika kukusanya watu kwa mabasi kutoka Arusha mjini kwenda wilayani Karatu kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wake...
Posted by GLOBAL on October 25, 2010
Na Issa Mnally
Hali ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ali Omar Juma ikielezwa inarejea vizuri, kiwewe...
Wandugu nimeona niwaletee hii bofya hapa yaani ni ulimbukeni wa NEC au wa TANZANIA kwani hii website ya mwaka 2005 mpaka sasa na kwanini wanapost date ya kupigia kura zimebaki 5 days wakati vitu...
Ahadi za Profesa Lipumba na Maalimu Seif(CUF)
1.Elimu ya bure kuanzia msingi hadi chuo kikuu
2.Kubana matumizi kwa kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri
3.Kuunda serikali shirikishi
4.Kusimamia...
Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu...
Siku zimekwenda sana lakini hii haiwezi kuwa sababu ya wapenda amani kuendelea kutoa nasaha zetu. Mengi yamesemwa na mengine tumeshuhudia wenyewe, lakini mwisho wa yote tunamsihi amiri jeshi mkuu...
Wana CCM wote, wenye uchungu na nchi yetu, wanaotafunwa na Umasikini, nawaomba na tena kuwasihi, kumpigia Kura Dr. Wilbrod Peter Slaa. Mimi ni mwana CCM wa Damu, lakini sidanganyiki kwa kumpigia...
MDAHALO ULIOFANYIKA STAR TV KATI YA DK.SLAA NA MR.KINANA
NUKUU:DK.SLAA
Hatuwezi kugawana madaraka kwa kufuraishana tu,Sihitaji mawaziri wengi wanaofanya kazi ya kufungua makongamano,semina na...
Kwenye majimbo 289 ya uchaguzi, CCM wamasimamisha wagombea majimbo yote, sisi wapinzani tumesimamisha majimbo 180, maanaake majimbo 109 tumeyasamehe, na katika hayo inasemekana kuna upinzai wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.