Hizi ni habari mbaya kwa wanavyuo na wanaharakati.mimi ni mwanachuo,ukweli ni kwamba wakati jambo la kubadili muda linaanza niliwaambia wanachuo bila mafanikio kuandamana kupinga jambo hilo kwani...
Breaking News
Kuna tetesi kuwa basi lililokuwa limebaba wananchi waliopelekwa kwenye mkutano wa kampeni limepinduka usiku huu likiwa linawarudisha majumbani kwao na watu watatu wamefariki dunia...
Hongera ITV kujiondoa CCM
Ni wengi wetu walioona uzi nilioweka hapa JF uliokuwa na kichwa cha tangu lini ITV ikawa CCM ambapo ITV walikuwa wanarusha taarifa za habari za CCM pekee. Baada ya uzi...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aakiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni
Kama mwaka 1990 watanzania tulikuwa milioni 25.5, kufikia 2008 tulikuwa milioni 42.5 na inakadiriwa kufikia 2015 tutakuwa milioni 52.1 (World Bank, 2010). Sasa kama JK ameshindwa kuboresha maisha...
Malasusa: Chagueni mtu makini si chama
Fidelis Butahe na Fredy Azzah
MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa amewataka Watanzania kuchagua...
By DAILY NEWS Reporters, 18th October 2010 @ 12:01, Total Comments: 0, Hits: 40
ELIGIBLE voters can use their mobile phones to get information about where they are supposed to cast their votes...
Mussa Mkama, Shinyanga
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa jana alibadili hali ya hewa mkoani Shinyanga baada ya kuutikisha mji kiasi cha kusababisha bendera za CCM...
PICHA: Dr. Slaa aiteka Shinyanga
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aakiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na...
Angalia 'data' zilizo kwenye jedwali na 'graph' kwenye 'sheet number two of the attached Excel file labelled "sources of funds" halafu tuambie ni yupi akishinda atalipeleka taifa letu kwa muda wa...
Vyama vyote vya siasa ni vyetu na JK anapodai ni vya musimu siyo mkweli kwa sababu anamaanisha John Tendwa anavibeba wakati kamisaa huyu wa vyama vya siasa ni mteule wake. Kama Tendwa anashindwa...
Please open the attachment, then go to the first sheet (number of pledges) and tell us the presidential candidtes who give reasonable number of pledges!
Kazi kubwa ambayo imesalia sasa ni kuhakikisha kura zinalindwa na zinahesabiwa kwa uangalifu kwani ushindi upo wazi kwa Dr slaa, naomba mawakala wazingatie yafwatayo:
1...
Msiwachague wasiojali umaskini wa wananchi
Na Godfrey Mushi
18th October 2010
p { margin-bottom: 0.08in; }
Makamu wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)...
Wakuu wana JF hivi Chiligati mbona yupo kimya sana au naye anapumulia mashine? milioko jimboni kwake tafadhari tupeni taarifa. Alisikika sana wakati wa kumuweka pembeni Bashe. Nadhani yeye ndiye...
Waheshimiwa nina furaha kubwa moyoni baada ya kuleta hapa jamvini maelezo ya vifaa vya kusaidia katika kuwaandaa kikamilifu mawakala ili waweze kulinda kura kwa umakini.
Mtakumbuka kuwa niliomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.