Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dear, Mageuzi: Well, I know ya kinda shocked me calling you Mageuzi, but that's how I prefer it (Upinzani sound little militant and confrontational to me). Besides, it kinda scares the sh*t out...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka 2005, Mgombea wa CCM Jakaya Kikwete alituchota sana na kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania hadi tukampa kura za ushindi wa kishindo. KIlichofuatia baada ya hapo ni kwa Watanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutoka wall ya Facebook page ya Chadema Mama Salma Kikwete ametumia ndege ya Serikali namba 5H TGF kwenye Kampeni za Kikwete. Dr. Slaa ameagiza wanasheria wa Chama kumfungulia kesi Salma...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Jamani mbna aya mazuri ya Jk amyasemi?au ayapo?
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu zaidi Kampeni za Rais aliyemaliza muda wake na sasa anaomba ridhaa tena kwa Wananchi wamchague Rais Kikwete nimegundua Asilimi kubwa inayojitokeza kwanza kundi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wenye uhakika tusaidieni.... Kuna dhana/tafisri mbili zinachanganya kuhusu mipaka/mahali ambapo mtu anaweza kupigia kura ya rais. KWAMBA KURA YA URAIS UNAWEZA KUPIGA KITUO CHOCHOTE TANZANIA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni mara yangu ya kwanza kuwepo tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Sina hakika lakini nadhani mwaka huu vyama vingi vimejitokeza kutaka kupata michango kwa njia mbalimbali ikiwemo new technology...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi naomba niulize kitu kimoja maana naona dhahiri hapa kuna walakini!!Nilisikia serikali imeagiza mtambo wa kuchapisha karatasi za wapigakura badala yakuagiza swali ni vipi serikali iliyopo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wadau naomba kuelimishwa kidogo kuhusu mzee Aboud Jumbe. Naambiwa aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa pili wa Rais wa JMT. Ninachoshangaa ni kwamba sijawahi kumuona hata siku moja...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Wapendwa wanajamii, napenda kuibua hoja kama changamoto kwa jamii yetu kuhusu kauli zetu mbalimbali zinavyoweza kujenga ama kubomoa kwa namna moja ama nyingine. Wakati wa mchakato wa kusaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikwete , Dk Slaa hapatoshi Na Waandishi Wetu WAKATI kampeni za uchaguzi mkuu zikikaribia kumaliza mwezi mmoja, mashambulizi baina ya wagombea yanazidi kuwa makali baada ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyie NEC kuwaambia CCM kuondoa mabango ya ikulu baada ya kujadili kwa siku mbili ndio adhabu tosha au nyingine itafuata? John vipi hapa? (Mwananchi 14/09/2010). Je, ni sahihi kwa JK kutoa ahadi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kura za uraisi zingekuwa zinapigwa kupitia mtandaoni na kujumuisha wapenda mtandao tu, na hasa kama JF ndio ingekuwa ni kituo pekee cha upigaji kura, basi Slaa angeshinda kwa kishindo. Hilo...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu, Uchaguzi Mkuu ndiyo huo unakaribia na wiki si nyingi tutapata Wabunge wetu toka kila kona ya nchi yetu pamoja na wale wa Viti Maalum. Kutokana na nafasi ya Bunge letu katika maendeleo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nilikuwa naangalia kipindi cha usiku wa habari TBC1.Kilichonistua si kingine ni huyu mgombea ubunge wa jimbo la Mtera kupitia CCM,aliyemwangusha Mzee Malecela(TingaTinga) katika kura za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je tutawaachia taifa tulilonalo hivi? Je tunataka wakue katika mfumo huu huu ambao wengine umechukua maisha yao; je wanajua wanaimbia "Tanzania" kama wazo.. ? Nimeshindwa kujizuia.. lakini I think...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Lipumba: Kikwete amekosa umakini Monday, 13 September 2010 20:22 0diggsdigg Elias Msuya, Masasi MGOMBEA wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya CUF, Profesa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utafiti uliofanyika hivi karibuni ulibaini kwamba katika vyama vitano makini Afrika CCM ni Namba moja vingini ni: Frelimo (Msumbiji), MPLA (Angola), ANC (Afrika Kusini) na chama cha ukombozi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi umewahi kujiuliza ni kwa sababu gani nchi ya Tanzania inazidi kudoroda katika nyanja zote za kijamii-kimaadili, kiuchumi, kiteknolojia, n.k? Ni wakati muafaka sasa Watanzania tutambue kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mi kila asubuhi pale akilli yangu inapotulia,kwamba kwanini huyu muh. rais kikwete asiwekwe kwenye kile kitabu cha rekodi mbalimbali za duniani wakati yeye pekee ndio kaziweka???jamani naombeni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom