Nimatumaini yangu wote wazima kwamba nyote mmesikia kwamba chama cha maendeleo na demokrasia CHADEMA kimemwekea pingamizi mombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Mh;Rais wa Tanzania Jakaya...
Nilipofunga kompyuta yangu asubuhi leo ili nishughulikie mambo binafsi yanayoniletea kipato, nilikuwa nimechangia kwa ufupi topic kwamba "Watanzania si Mabwege" any more. Mhe. Kinana alikuwa...
Jamani naomba kuuliza, katika katiba yetu Tanzania ni viongozi wapi wanastahili kusindikizwa na vimurimuri (Motorcade) . Katika siku za hivi karibuni ninaona kama kuna magari mengi sana yakiwemo...
Nilikuwepo kwenye mkutano wa cuf bkb.maandamano kwenda uhuru yalikuwa na pikipiki 8 na magari 4.mkutano ulikuwa na watu kama 50 tu.kifupi ccm b wamefulia.ngoja aibu ya mwaka watakosa mbunge hata...
Asilimia 99.95 ya wakazi wa Zanzibar wanasubiri siku ya kuapishwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Raisi kiongozi wa Zanzibar mpya(New Zanzibar).Habari za ndani zinasema kuwa uhakika wa ushindi...
Kuna mambo yametokea hapa JF katika wiki hizi chache ambayo yamewafanya watawala washtuke kidogo. Ndio wamekuwa wakishtushwa na yanayoendelea lakini haya makubwa matatu yamefanya kutoa ushauri wa...
WAKATI tukielekea katika Mkutano wa 17 wa Bunge unaoanza keshokutwa Jumenne Oktoba 26, 2009, tujikumbushe yaliyojiri Mkutano wa Kumi na Saba miezi michache iloyopita haswa Agosti mosi, 2009 siku...
Enzi za CCM ya Nyerere Lowasa, Mramba na wenzao wangetimuliwaSalim Said na Hashim Gulana
CHAMA Cha Mapinduzi kingekuwa na nidhamu yake ya zamani watuhumiwa wote wa ufisadi pamoja na wabunge...
Wiki moja kabla ya kifo cha Wangwe habari ziliingia kwa njia ya sms zikiwa na ujumbe uliokuwa unamaudhui yafuatayo "tumempoteza mpambanaji mwenzetu Zitto"! Ujumbe huo ulikuwa ni kutaarifu juu ya...
Foreign firm operates illegally for ten years
By Costantine Sebastian
THE CITIZEN
A Norwegian engineering consultancy company has done business in the country illegally for nearly a...
2008-07-02 09:46:16
Na Simon Mhina
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe, amedai kwamba kinachotokea sasa hivi ndani ya CHADEMA ni mpango maalum wa kukiua...
GOVERNMENT AGENCY PICKS HIGHEST BID IN MULTI-BILLION SHILLING CONTRACT, RESULTING INTO A LOSS OF MORE THAN 20BN/- TO TAXPAYERS
WHEN it comes to the government's agency responsible for the...
Kwenye jimbo langu, vyama vingine pia vina wagombea, lakini baada ya kikao cha NEC nilisafiri kidogo nje ya nchi nimerudi sasa na kukuta wansambaza habari kuwa nahojiwa na TAKUKURU!! uongo kabisa...
Napenda kuona CHADEMA wakati huu wa kampeni ikiwakumbusha wananchi umuhimu wa kupiga kura na kuhakikisha kura zao zinaehesabiwa kwa yule mgombea wao waliyemchagua.
Hii itahitaji CHADEMA kuwa na...
Habari zinakuja kwenye wire ni kuwa, mgawanyiko ndani ya ccm unaendelea kufutuka na sasa ngoma ndo mwanzo inaanza. Kwa waliodhani kuwa zile kashfa zote za kumweka Kikwete ikulu mwaka 2005 zilikufa...
Jamani kuna kitu kimoja kinakera sana katika mambo haya ya kampeni- kuona vyombo vya habari vikiwa biased bila hata kuficha. Channel Ten nawauliza swali, je mmeamua kuwa makada wa CCM na kuacha...
hili hasa ndilo waliokuwa wanastahiki kuambiwa hawa jamaa zetu kwa muda mrefu.
sasa ni juuu yao kumeza au kutema.
Makamba: Viongozi Chadema wana akili ndogo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)...
Inaonekana Tume ya Uchaguzi kwa sababu wanazozifahamu wameamua kutoa tafsiri mpya kwa maana ya kampeni ya Uchaguzi. Ninavyoelewa mimi kufanya kampeni ni kujinadi kwa wapiga kura kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.