Jamani mimi mwenzenu napata shida kuhusu majukumu ya Wabunge tunaowachagua kwenye majimbo yetu.
Asilimia kubwa ya wananchi wanasema Mbunge wetu hakutufanyia hivi, mfano hakutujengea shule...
Bajeti ya magari ya Ikulu yapaa
Source: Raiamwema
BAJETI ya Serikali ilipitishwa juzi jioni huku matumizi kadhaa, yakiwamo ya Ikulu, yakiwa yamepanda kutoka Sh. bilioni 7.23 hadi bilioni 8.8...
17th June 2010
Kambi ya Upinzani Bungeni imeitaka serikali kuacha visingizio kuhusu hali ya maisha inayozidi kuwa mbaya miongoni mwa wananchi wa kawaida kila kukicha, badala yake itafute mbinu...
If there is another Golden Opportunity for a true Intifada to the politics of Tanzania, then this is the perfect time for it.
As Kikwete's Government is presenting its 5th budget and all...
Upande wa Serikali katika rufaa ya kesi ya kuruhusu mgombea binafsi umeshinda katika hukumu iliyosomwa leo na Mahakama ya Rufaa iliyokuwa inasikilizwa na jopo la majaji 7.
More to follow
Ilikuwa kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Anaanza kwa kujibu swali la anaelezea vipi vitendo vya watoto kukatisha masomo na kuwa barabarani kuombaomba? Ni vitu gani vinasababisha hali hiyo?
Leo Chama cha Chadema jimbo la Bukoba mjini lilikutanisha viongozi wake ili kuwapa elimu ya sheria mpya za uchaguzi na mambo mengine yahusuyo uchaguzi. Ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya uchaguzi...
Asalaam Aleykum,
Taarifa nilizonazo ni kuwa TFF walienda benki ya NMB kuomba mkopo kwa njia ya overdraft ili waweze kuwalipa Brazil appearance fees za kuja Tanzania. Sina uhakika na exact...
Pamoja na madudu yote yanayotokea na kuhatarisha usalama sijaona hata gazeti au chombo chochote cha habari kinacholeta majibu ya RO kuelezea uzembe na matukio haya mbalimbali. Haiwezekani matukio...
Pamoja na baadhi ya watu kuanza kuamini kwamba Rostam Aziz amepungua nguvu na kwamba sasa hana uwezo wa kupanga safu katika uchaguzi wa mwaka huu kama alivyofanya huko nyuma, UKWELI ni kwamba ana...
Nimefedheheshwa na kitendo cha kiongozi wa juu wa jeshi la polisi kutangaza nia zao za ubunge kwa tiketi ya CCM.
Tibaigana, na jana nikachoka kusikia kamanda wa trafiki Kombe.
Hivi hawa...
Jamani this is just "amaizing coincidence", Matangazo ya TBC yazimika ghafla wakati Mbunge wa Karatu, Dr. Wilbroad Slaa akiikandia serikali kwa hoja na nondo za kushiba, wakati akitoa maoni ya...
KIGOGO wa siku nyingi serikalini, Dk Dalaly Peter Kafumu ametangaza nia ya kuwania kiti cha ubunge cha jimbo la Igunga mkoani Tabora ambako atapambana na mbunge wa sasa, Rostam Aziz.
Uamuzi wa Dk...
Najiuliza, haka ni kale ka-mwimbo ka Prof J kanatimia ama?
I like dreaming, and I dream big but this kind of dreaming is completely insane Mr Presida..!
Nimesikia ukiwasimulia watoto waliokuja...
Leo hii kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Mhe. Hamad Rashid Mohamed amemuondoa Mhe. Cheyo kutokuwa tena msemaji wa upinzani katika wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi na hii...
Hatimaye Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amefuta wazo la kuwania ubunge katika majimbo ya Geita, mkoani Mwanza na Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kutangaza rasmi kwamba...
Mnamo tarehe 27 mwezi Mei magari ya kikundi cha TOT ambacho hutumbuiza wakati wa kampeni kwa upande wa CCM (chama tawala) yalikamatwa an Majembe Auction Mart kufuatia order kutoka mahakamani...
Nimekuwa nikifanya kazi za maendeleo ya jamii katika miji mikuwa na midogo; vijiji vikubwa na vidogo. Nimeona maeneo katika vijiji vidogo na vikubwa ambako mpaka leo kuna watoto wanakenda shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.