Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais Magufuli umelikoroga sasa na ulinywe tuu maana hakuna namna. Ukitumia ubabe kwa watanzania watakupiga kwenye sanduku la kura, sisi tunasema usitumie ubabe. Tukakusihi kutoka mwaka 2016...
24 Reactions
83 Replies
7K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la handeni mjini kupitia CUF chama cha wananchi , mhe Sonia Magogo amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi handeni mjini na kuchukua fomu ya kuwania ubunge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu. Bado safari inaendelea.
19 Reactions
59 Replies
7K Views
SUALA LA CHADEMA TUMEMUACHIA MSAJILI WA VYAMA Masuala yote yanayohusu maudhui ya utangazaji kisheria yapo chini ya Waziri mwenye dhamana ya habari, Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 pia...
8 Reactions
39 Replies
6K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu. Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana. Tusije kutoa sababu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mh. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500 Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na...
27 Reactions
77 Replies
7K Views
Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA...
27 Reactions
68 Replies
10K Views
Kama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na...
34 Reactions
173 Replies
9K Views
Ndugu zangu, Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa...
30 Reactions
161 Replies
9K Views
Tundu Lissu tayari ameshaonyesha wazi kuwa ni mwiba mchungu kwa CCM kuelekea kwenye kampeni, kwa muda mfupi aliopanda kwenye majukwaa yasio rasmi kwa ajili ya kampeni ameoneka kuwa Ni mtu mwenye...
55 Reactions
119 Replies
10K Views
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za...
57 Reactions
296 Replies
23K Views
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa...
39 Reactions
87 Replies
11K Views
Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake. Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo...
18 Reactions
57 Replies
4K Views
Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.- Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Salama. Kiukweli nawaonea huruma CCM chama cha siasa kwa namna wanavyohangaika huku na huko kutafuta mapenzi kwa wapiga kura kwa gharama kubwa sana na wananchi kuwashawishi pasipo maana. CCM...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF, Poleni na Majukumu. Baada ya salamu naomba niwasilishe uchambuzi wangu mfupi kwenu juu ya vuguvugu la siasa linaloendelea kwa sasa wakati tunapoelekea Oktoba 28, Nitagusia...
0 Reactions
5 Replies
662 Views
Amani iwe nanyi wadau! Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania...
25 Reactions
208 Replies
11K Views
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine. Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni...
39 Reactions
294 Replies
19K Views
Back
Top Bottom