Nilikua nawaza sana na nikatafuta wa kumlinganisha Slaa na rais yeyote aliyewahi kuishi au aliyepo.Nimegundua Dr Slaa ni Sawa na Baraka Obama.Kama dunia ilivyokua inatamani sana America kuongozwa...
hadi sasa polls za gazeti linalosomwa na wengi la mwananchi,jumla ya voters 3525 matokeo kama ifuatavyo
dr slaa 71.1%
kikwete22.4%
lipumba 4.5%
tlp na nccr wamepata 0.5 kila mmoja
ukiangalia...
Kuna hili bango la wizara ya afya ambalo limekuwa pale ocean road takriban miezi miwili sasa. Ni wazi linampigia JK kampeni, na tume haikutoa amri ya kuliondoa. Tukumbuke rais wetu mteule Slaa ana...
Wapwaz, mabinamuz, mashangazi, mabibi na mabwana. Wakati unajipumzisha nyumbani au mahali pa starehe basi unaweza kujipa muda wa kuusikiliza ujumbe huu wa Mishori kwa Kikwete. Na uchukue muda wako...
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Tanzania Citizen's Information Bureau (TCIB) na kutolewa leo umeonyesha Dk Slaa anaongoza kwa asilimia 45, JK asilimia 41,Prof. Lipumba asilimia 10, Hashim Rungwe...
Labda alishawahi kuwa mc huko nyuma basi kama sivyo amesoma alama za nyakati, huyu jamaa anajiandaa vyema kwa kazi hiyo baada ya oktoba 31 kwani kila nikitafakari anayoyasema na ahadi anazotoa...
Katika hali ambayo yaonyesha Mwanasheria Mkuu ni kibaraka wa mwajiri wake JK na CCM yake ameona ni sahihi kabisa kutochunguza matukio yote ya uvunjaji sheria za uchaguzi lakini kuichafua Chadema...
HABARI ZILIZOANDIKWA KATIKA MAGAZETI MBALIMBALI LEO ZINAONYESHA KUWA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU KITASAMBAZA WAANGALIZI HURU NA KUJUMLISHA MATOKEO. KILA MKOA KITAKUWA NA MWANGALIZI MMOJA...
CCM sasa kama ni suruari basi ni zile Tokyo, na kama ni kiatu basi raizoni najua
wengi mtakuwa mnazifahamu hizo suruali aina ya Tokyo zilivyotamba sana miaka ya 1992-1994 ama kiatu kile jamii ya...
kwa viongozi, wanachama na wapenzi na mashabiki kazi kubwa ni kuhakikisha wapiga kura wanaelewa UPIGAJI KURA ili Kupata Kura zote zinazoelekea Chadema otherwise mambo yanaweza yasiwe kama...
MWENYEKITI wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe amewasihi wafuasi wa CCM kuacha vurugu kwenye mikutano ya Chadema ili kufanikisha uchaguzi wa amani na undugu.
Aidha amewashauri viongozi wa CCM...
CCM leads in random opinion poll
AN opinion poll survey carried out by the Tanzania Citizens Information Bureau (TCIB) has shown that the ruling CCM enjoyed 50 per cent support of people above...
ukkiangalia mwenendo mzima wa kampeni za chama tawala utagundua yafuatayo
matumizi makubwa ya rasilimali za watanzania kwa maslahi ya ccm ikijumuisha kuwanunua wapinzani na kuwatawanya makada...
:A S angry::A S angry::A S angry:
Ndugu zangu,
Nimepokea sasa hivi SMS isemayo:
"Vyama vya siasa vilivyoandikishawa nchini Tanzania ni 18 lakini hakuna hata chama kimoja ukiviweka kwenye...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 06 October 2010
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ili kionekane kimeshinda...
Zikiwa zimebaki siku 15 tu kupiga kura Jibu swali hili? Tunakwenda wapi WATANZANIA? ( VISION)
Mi mara ya kwanza kumiriki gari ilikuwa 2004. Nilikuwa nanunua bei ya Petroli Tsh. 360 kwa lita...
Nyote mtakubaliana nami kuwa washabiki wa kisiasa (political commentators) ni watu muhimu katika taifa lolote lile katika kufanyia uchambuzi mambo mbalimbali ya kisiasa na wakati mwingine kijamii...
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
ü Tuchague viongozi wenye sera zitakazosimamia haki za raia wote bila ubaguzi wala upendeleo.
ü Tuchague viongozi watakao simamia majukumu yao ipasavyo.
ü Tuchague viongozi...
WAAFRIKA tuna desturi zetu! Ikiwa wewe ni kijana mdogo, umekaa na watu wazima halafu ikatokea mtu mzima mmoja amepiga ushuzi! Sasa, endapo mmoja wa watu hao atakushutumu ni kwamba umepiga ushuzi...
Nimearifiwa kuwa hatimaye Mh. Sophia Simba aliwasili Nzega jana [16.10.2010] na Kufanya Mkutano wake katika Ukumbi wa Check Point.
Mengi yalijitokeza lakini zifuatazo ndizo dondoo za Kikao hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.