Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
"I can't breath" ni kauli aliyoitoa George Floyd wakati askari mmoja huko marekani alipomkamata na askari huyo kuweka goti lake katika shingo ya George Floyd, jambo lililosababisha akose hewa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Uchaguzi Mkuu Tanzania ni mwaka huu wa 2020, bila shaka wako watanzania wenzetu watapenda kuwania kiti cha Urais wa Tanzania. Sisi wasaka tonge tuna yetu mengi ya kuwaambia wenzetu wenye ndoto za...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Naomba nianze na kudeclare interest. Mimi sio mshabiki wa CCm wala Magufuli. Ni mshabiki wa vyama vingi. Napenda utawala wenye viongozi wenye maono au challenge mbalimbali. Tunavyoelekea uchaguzi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
1. KESSy yule wa rukwa.. kazi kubwa anayo fanya ni kujipendeleza kulinda biashara yale ya maji.. Hillwater. Juzi anasema katiba ni maandishi ambayo tunaweza yafuta wakati wowote. 2. Msukuma...
13 Reactions
63 Replies
6K Views
Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi." Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia...
31 Reactions
79 Replies
6K Views
CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais Kwa sababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani. Ana chuki na vyama vingine vya...
22 Reactions
452 Replies
23K Views
Moja ya sababu kubwa ya kuangusha utawala huu wa CCM ni hili la kuleta kwa hati ya dharula muswaada was marekebisho ya sheria ili kuongeza wigo wa viongozi wavunja sheria na Katiba kutoshtakiwa...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Chama cha Upinzani cha CHAUMMA, kimetangaza rasmi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Mwenyekiti wake, Hashim Rungwe Spunda amesema wanavikaribisha vyama vingine kuungana nao...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni wazi sasa mpambano ni kati ya wanasiasa hawa. Kulikuwa na tetesi kwamba Joseph Selasini angekimbia Chadema kumkwepa kada mahiri wa Chadema,ndugu Malisa, na ndivyo ilivyotokea Hatari iliyopo...
15 Reactions
58 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa DP Mkoa wa Mara Mh Chrisant Nyakitita , leo amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kutangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Oktoba . Wagombea wanaojitokeza...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR. Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna watu makini nadhani yawezakuwa wanabanwa na katiba ama hawana interest na siasa lakini wakiamua, wanauwezo mkubwa was kuleta ushindani na kushinda kwenye nafasi ya uraisi kwa UCHAGUZI wowote...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming. 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)
27 Reactions
222 Replies
26K Views
Ikiwa ni miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa udiwani, ubunge na urais Oktoba mwaka huu wanachama katika vyama mbalimbali vya siasa wamejitokeza kutaka kumrithi mbunge wa sasa James Francis...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
ACT-Wazalendo na Chadema, wekeni Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya siasa za nchi kwa miaka mingi sasa. Nchi hii imebariki watu wenye vipawa mbalimbali. Tasnia ya siasa imekuwa inaheshimika kwa miaka kadhaa sasa. Kipindi hiki...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh...
33 Reactions
189 Replies
19K Views
Jibu NI hakuna Jipya lolote kesho. Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba...
0 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo Wengine ni kuimba mapambio tu hakuna namna!
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom