Ahadi alizotoa JK kwamba atajenga barabara ya kiwango cha Lami kutoka same mjini kupitia Kisiwani, Ndugu, Kihurio na kutokea Mkomazi ni utapeli mkubwa, uongo na uzandiki. Barabara hii imepewa...
Nimeupenda sana huo wimbo. Bwana awakumbuke wote ila hapo inapotajwa serikali basi naomba isomeke kwamba wanaoombewa ni serikali ya wapambanaji itakayoingia Mjengoni Oct 31.
Mnaweza pia kuziba...
Tafadhali aliyekwisha pata gazeti la Mwanahalisi la leo tafadhali tujuze yanayo endelea. Siko katika nafasi ya kupata hilo gazeti siku nzima ya leo, tafadhali naomba nipate japo headlines.
Thanx...
Huyu Mtu akiingia madarakani
1: Elimu bure mpaka form Six, Wengine wamesema hawawezi
2: Katiba mpya ndani ya siku 100
3: Mafisadi kukiona cha mtema kuni, maana alipokuwa Mbunge tu aliwatetemesha...
Nimepata mail hiyo hapo chini nani anaweza kunidhibitishia ni saidieni wakuu sababu pressure inapanda nakushuka
Kikwete apewa report ya kura za Slaa
Habari zilizopatikana ndani ya...
The universally famous expression, ‘Charity begins at home', marked the arrival to Arusha yesterday, of Chadema's presidential candidate, Dr Willibrod Slaa.
Business came to a standstill...
Ni ule wa kuimaliza CHADEMA!
na Janet Josiah na Charles Ndagula, Moshi
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ametangaza kunasa waraka wa siri...
Mgombea CHADEMA apigwa kinyama
na Violet Tillya, Arusha
MGOMBEA udiwani kwa tiketi ya Chama Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Mjini Kati, Salumu Seif Simba, amelazwa katika...
Wakuu nitajaribu kama net yangu itakuwa sawa. Nimepita pale uwanja wa Mashujaa na kukuta umati wa kweli. Nyomi ya kufa mtu. Kwa bahati mbaya niko on call hivyo sikuweza kukaa sana. Kaa mkao wa...
Aliyempinga mtuhumiwa mauaji ya albino atupwa
Asema si shabiki wa siasa za makundi, Mungu atamlinda
KATIBU wa CCM Mkoa wa Kigoma aliyedaiwa kupigania chama hicho kutomteua mgombea ubunge...
Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na...
Na Mwandishi wetu
Raia Mwema
Septemba 15-21 (Ukurasa wa Tatu)
Katibu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Moudline Castico, aliyedaiwa kupigania chama hicho kutomteua mgombea ubunge anayehusishwa na kashfa...
Uwapi uhuru wa vyombo vya habari Tanzania...!
Huu ni ukandamizaji wa Uhuru wa habari..inawanyika haki watanzania kupata habari...!
Watanzania...tuamke na kuwanyima kura mwaka huu...!
I...
Luis Moreno-Ocampo - Mahakama ya THE HAGUE.
Karibu Tanzania uje ukamate Viongozi wa Serikali watakaoiba kura na kusababisha vurugu.
Tunaomba Luis Moreno-Ocampo awatahadharishe viongozi wa...
Nani kateua mhuni kampeni za CCM?
Na Anthony Mayunga
Mtendaji Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba ametetea chama chake, kwamba hakihusiki na tukio la kufukuzwa kwa waandishi wa...
Taarifa zilizoufikia mtandao huu wa francis Godwin hivi punde kutoka Njombe zinadai kuwa msafara wa Helkopta za Jakaya Kikwete zimepotea na kushindwa kutua Lupembe na badala yake kushindwa kufanya...
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko;
Tarehe: 22nd September 2010
BAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukataa kushiriki midahalo ya wazi, mdahalo mwingine umeandaliwa ukilenga baadhi ya wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.