Kuanzia tuianze hii awamu ya tano ya Raisi MAGUFULI,Jimbo la BUMBULI tulikuwa na matumaini kibao ya kuwa na mbuge kijana na Mwenye exposure kubwa ya kisiasa ndani na nje ya nchi yetu(hata upinzani...
ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA
Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya...
Wahenga wanasema siku hazigandi na kama ilivyokawaida October 2020 inakaribia. Na kila chama kitaweka mgombea kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na urais.
Kwa walioshika dola tayari inajulikama nani...
WAITARA, NYAMHANGA WAIGAWA TARIME KWA MASLAHI YAO BINAFSI KISIASA
Ni Naibu Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya TAMISEMI.
Dhamira ni kuwarahisishia mipango yao kugombea majimbo ya Tarime Mjini na...
Tunajua NCCR Mageuzi Ndio chama ambacho upepo unakivumia vizuri baada ya kupita kwenye mawimbi mengi kwa miaka kumi mfululizo!
Kuna kila dalili hawa jamaa ndio wataunda kambi ya Upinzani...
Kheri ya Pasaka kwa Watanzania wenzangu.
Kama tunavyojua mwaka huu kuna harakati za Uchaguzi Mkuu na tayari wanasiasa wameanza kuzunguka hapa na pale katika kutafuta kuungwa mkono.
Na kila chama...
Inashangaza sana na inatia huruma, dunia nzima ipo katika wimbi zito la kupambana na ugonjwa wa Covid-19. Ugonjwa ambao umeua watu zaidi ya laki moja dunia nzima.
Wanasiasa na wafuasi wa Chadema...
Ziko sababu lukuki za kuonesha namna awamu hii ilivyofeli
1. Ikumbukwe walipoingia madarakani walituaminisha masuala ya wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa wakatuambia na kiasi walichookoa na...
Ni ukweli usiopingika kwamba ubunge sio tuu kuwakilisha wananchi husika lakini pia ni ajira yenye malipo mazuri na uhakika Kwa kipindi cha miaka 5
Nadhani ni wakati sasa wananchi kuanza kuwapatia...
Kwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma...
Habari ni za saizi,
Ndugu wa Tanzania kutokana na Janga la corona ningeshauri serikali na NEC wachukue maamuz ya kutumia technologia katika kipindi cha uchaguzi.
Technologia ninazo pendekeza ni...
Ama hakika nimeona wewe kijana Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kiakili. Unaweza kupanga mambo kwa muono wa mbali na yakafanikiwa yaani wewe kwa lugha adhimu ni mwana falsafa.
Mpango ulio...
Kuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini...
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kutogombea tena nafasi ya udiwani wa kata ya Ubungo katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020 nchini Tanzania.
Boniface Jacob...
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Karagwe tokea uchaguzi wa mwaka 2015 ambapo ndugu Innocent Bashungwa alichaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo la Karagwe.
So far siajona kitu alichofanya kwani wananchi...
Je nani asiyeona Maendeleo ya nchi yetu yanayosababishwa na Rais wetu anayetawala kupitia Chama Kikongwe barani Afrika na Dunia Chama cha Mapinduzi?kama huoni basi siwezi kukulaamu.ila uhalisia ni...
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.
Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.
Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda...
Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kumng'oa mbunge wa sasa Halima Mdee.
Wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela Kiziga, Benjamini...
ZITO ZUBERI KABWE kwangu mimi ni mwanasiasa Mwenye akili nyingi zilizo kosa uzalendo na badala yake zikajawa na tamaa na upotoshaji.
Nimekua nikifuatilia siasa za Zitto toka akiwa CHADEMA mpaka...
Halima Mdee alimshinda Angela Kizigha mwaka 2010 kwa tofauti ya kura chache sana. 2015 kwa upepo wa Lowasa akamshinda warioba kwa tofauti ndogo sana.
Jimbo la Kawe kwa asilimia fulani linakaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.