Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Salamu tele kwenu, Nikiwa kama mdau wa humu ndani naomba mniambie ni muziki upi unatupeleka kwa Uchaguzi 2020, na pia mavazi yatakuwa ya khanga au vitenge. Mimi nakumbuka sana ile muziki wa 2015...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Nimehamasika kuandika uzi huu kutokana na kitabu cha baba wa Taifa Julius K. Nyerere cha mwaka 1962 kiitwacho TUJISAHIHISHE. Kitabu ni kirefu kuweza kuwekwa hapa kilichomo chote, lakini ni kifupi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tume ya uchaguzi haiajawahi kuwa kimya kwenye maboresho ya daftari la wapiga kura Kama ilivyo awamu hii, hakuna sehemu unaona Kama wapo kazini. Hali imetulia sana Kama vile hakuna watendaji wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuna baadhi ya watu wanaohama chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakijinadi kuwa wanaunga mkono juhudi za mh Rais kwa kazi anazozifanya .Lundo la watu mbalimbali wengine wakiwa ni viongozi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika uchaguzi wa mwaka huu mwezi October angalia mgombea mwenye sifa zifuatazo: 1. Ataliweka taifa kuwa la amani, akamate wote wasiojulikana walioua, poteza na kuumiza watanzania wenzetu...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Swali fikirishi tu. Kiukweli nchi nyingi duniani (ikiwemo nchi yangu nzuri Tanzania) zinapita kwenye wakati mgumu kiuchumi na kisiasa. Wengi wetu tumebaki kulalamika sana hata kujutia maamuzi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu. Ponda amesema kwa Siasa...
13 Reactions
71 Replies
9K Views
Zimeibuka hoja mbali mbali zikiwaaandama nyakati hizi za kuelekea uchaguzi mkuu na ndio safari imeanza muwe na ngozi ngumu na kubwa zaidi endeleeni kuwatumikia wananchi maana waleta hoja wana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm. Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani kama video inavyojieleza, wakazi wa Mwananyamala wanakusanyana kwenye ofisi za serikali ya mtaa, wanapigwa picha na kulipwa shilingi 5,000 kila mmoja. Picha hazijulikani ni za nini. Na kwa...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu,nimekua mdau wa kusoma mawazo na nyuzi mbalimbali humu JF,ukweli 99% tunajitambua,nimefikiria sana,nimewaza na kuwazua,kwa weledi wa kudadavua mambo mbalimbali ya kisiasa,kiuchumi na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanajamvi, leo katika pitapita zangu jijini Arusha nimeona Gari likipeperusha bendera ya ccm, na nilipotazama vizuri nikaona Bango kubwa limebandikwa kwanye kioo cha nyuma limeandika - MAGUFULI...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania. Zitto...
19 Reactions
44 Replies
5K Views
Dear ambassadors who represent their countries in Tanzania. We humbly request you to employ people who will follow what is being posted on jamiiforums. Jamiiforums is the only trusted source in...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa siasa za Tanzania amabazo sio za kistarabu kabisa yaani za uchafuzi naamini tunaenda kupata vikwazo vya uchumi ambavyo vitatuathiri hata watu wengine tusio na kosa sababu ya wajinga wachache...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbunge wa Tarime Mjini Mh Esther Nicholas Matiko ( Mb) aibua Ufisadi wa kutisha TBC. Kampuni ya Star Media Tanzania LTD( Star Times & TBC ) kwa pamoja wameidanganya Serikali ya Tanzania kwamba...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habri za wakati huu; Nimekuwa nikifuatilia kwa kina mitazamo ya wananchi hasa vijana wa umri kati ya miaka 18 hadi 45 ambao wengi wao ndio wapiga kura watakaoshiriki katika kuamua nani awe rais...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
Uchaguzi ukiisha matajiri wataendelea kufanya biashara na serikali huku wakiachana na vibaraka wao. Hakutakuwa na burned Visa wala kikwazo chochote. Matapeli na wapiga deal za uchonganishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Namtahadharisha ZITTO awe makini huku nyumbani si shwari walimkosakosa sana sasa sio ajabu wanamtengenezea sherehe kamili. Hatungependa ya Lissu yajirudie tena maana makovu yale hayaponi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom