Wadau tafadhali naomba nielimishwe!kwenye uchaguzi mwaka huu nimeona mengi mapya ambayo hayakuwepo miaka ya nyuma.....mfano utakuta baadhi ya viongozi wakubwa wa wilaya na mikoa wanawapokea vema...
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa....
a)Matilda komu
b)Halima Mdee
C)John Mnyika
d)zitto Kabwe
e)Ndessa pesa
f)Tindu Lissu
Mwita Mwikabe
Mboye........na...
Zamani, mababu zetu kabla ya kwenda kuposa, walikuwa wanafanya uchunguzi wa binti, familia yake na tabia zake. cha msingi walikuwa wanaangalia kama kwao huko kuna matatizo ya wizi wizi ,umbeya...
Kama nimfatiliaji wa mambo unaweza kujua kwa undani ni nini hasa kilichofanya taifa la Zimbabwe wakati huo likiitwa 'kapu la Africa' likisambaratika na kuwafanya wanachi wake waikimbie nchi...
Dharau inayoonyeshwa na mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kuendelea kutoa ahadi zaidi ilhali nyingi ya alizotoa mwaka 2005 hazijatimizwa,sasa imehamia kwa mkewe.Katika ukurasa wake wa Twitter...
Nimeona kwenye blog moja juu ya kahasheki kuzindua kampeini lakini kikubwa katika blog hiyo inaoneshwa uwepo wa Bw Prince Bagenda katika uzinduzi ambapo wasiwasi ni kutojua sababu za uwepo wa...
Ninatazama hapa taarifa ktk ITV. Makamba anasema kwa mambo mengi aliyoyafanya JK kwa miaka hiyo mitano, tumpe ZAWADI kwa kumchagua tena
Jamani eeee, hivi kumbe tunapomchagua Rais tunatoa...
Wafungwa wa gereza la IBUKONI, wilaya ya ROMBO tarehe 13/09/2010, walitumika kujenga jukwaa alilotumia JK jana wakati akifanya mkutano 15/09/2010, katika shule ya msingi mbomai kati, TARAKEA ...
Ona, mfumo mzima wa CCM, viongozi, wapambe na mashabiki wao kila mtu anapambna na Dr. Slaa lakini hawafaulu kurudisha nyumba nia ya watanzania ya kuleta mabadiliko.
Kila kukicha lakima mmoja wa...
Anakumbuka marafiki na kusahau ahadi
NAWEZA kudai kumfahamu Kikwete kuliko wengi wa mashabiki wake wanaohudhuria mikutano yake ya kampeni. Nimefanya naye kazi jeshini na serikalini kidogo...
Katika kufuatilia kampeni za vyama vya siasa. Nimegundua CCM hawafanyi kampeni ilikutangaza hoja zao. Zaidi wanaandaa concert ya kusanya wanamuziki mbalimbali kwa ajili ya kuburudisha wananchi...
Wana-JF, Wakuu Wote; Viongozi Wote; Vijana Wetu (hasa wale wa jukwaa la mapenzi na mambo ya nanihii . . .)
Itifaki imezingatiwa!
Amandla!
Asalaam Aleykhum!
Bwana Yesu Asifiwe!
Haki Sawa . . ...
Godfrey Dilunga
.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?
Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano...
Habari zilizonifikia toka jimbo la Bukoba mjini zinasema mgombea Udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF kata ya Hamugembe aliyejulikana kwa jina moja kama "Kenyanya" na ambaye amekuwa katika kiti...
In a simple explanation, this a Candidate vying for a top political post, but he is being under total control of a syndicate which set goals to manipulate him for its own benefit thereafter...It...
Waungwana,
Mpaka sasa, Jimbo la Uchaguzi la Kawe lina wagombea wafuatao wa Ubunge, ambao ndio wanaosikika.
Angela Kizigha (CCM)
Halima Mdee (CHADEMA)
James Mbatia (NCCR-Mageuzi)...
Jamani Hivi kuchana vipeperushi vya mgombea mwenzako si ni kitendo cha uchokozi na uvunjifu wa sheria?
Kama ilivyokutwa mjini Bukoba mgombea wa chama cha mapinduzi amekuwa akichana vipeperushi...
Mgombea udiwani wa kata ya Endasaki,Wilayani Hanang,Mohamed Tandu amehama chama chake na kuhamia CCM. Jambo hilo linamfanya mgombea wa CCM kupita bila kupingwa.
Source...
Habari nilizoona kwenye Taarifa ya habari ni kwamba eti kuna mwandishi wa habari ambaye amepigwa na Wafuasi wa CCM kule Kwimba wakati wa kampeni zao. Nani labda ana habari zaidi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.