Kwa nchi kama Marekani, wagombea uraisi wote wa vyama vikubwa (Republicans na Democrats) hupewa ulinzi Secret Service wakati wa kampeni hadi uchaguzi unapoisha.
Je kwa Tanzania, wagombea kama...
JK ALITOA TAMKO KWAMBA HATA KAMA WAKIGOMA KWA MIAKA 8 HAKUNA BADILIKO KWENYE MISHAHARA NA KIKUBWA WATAAMBULIA KUPEWA NGEU,TUCTA NA WANASIASA WALIPOTIA HAMASA WAFANYAKAZI KUTOMPA KURA JK NA CHAMA...
Baada ya kuenguliwa kwa Bwana Mwakalebela, wana CCM wengi wameonesha kukerwa na kitendo hicho.
Kumekua na matukio Mengi yakiwemo na kuchana kadi za uanachama Mbele ya ofisi zao(CCM) hapa iringa...
Wadau wa JF ningeomba kujua matokeo ya kura za maoni katika jimbo la bariadi mashariki kwa tiketi ya CCM kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya tano.
Nina interest ya kisiasa na hili jimbo...
Wana JF naomba kuuliza hii weekend katika pita pita yangu nilisikia wasanii walikuwa wanagawiwa viwanja mkuranga chini ya shirikisho la wasanii lililounda wiki moja iliyopita, redio za mbao...
Nimetoka kwa wapiganaji nimekwenda kwa wapambanaji.kwa kuwa tutakuwa upande wa oposition bungeni bado tutaendelea kupambana na mafisadi (CHARLES MWERA)
Wiki kadhaa zilizopita tuliambiwa na TAKUKURU kuwa wamemdaka mama sita katika mazingira ya kutaka kutoa rushwa, hata vivyo mama sita pamoja na mzee sita walipinga vikali na kuielezea jamii kuwa...
Kutokana na fashion iliyozuka hivi karibuni, nami nawasiliana na wapambe wangu ili angalau na mimi nichukue form ya kugombea uraisi wa nchi hii, kwa nia ya kuweka historia na kupata form hiyo, ili...
Nini tofauti ya hawa watu wawili katika medani sa siasa za CCM?
Kwanini jina la Pesambili lirudi ili hali yuko mahakami tayari kwa tuhuma vile vile?
Hivi tunaongozwa na CCM ya Vichaaaaa...
Jimbo la Karagwe mkoani Kagera linaenda kiulaini mikononi mwa CHADEMA kutokana na NEC ya CCM kurudisha jina la BLANDES GOZIBERT. Viongozi wa CCM hapa Karagwe wanasema BLANDES hawezi kushinda na...
MKOA WA MJINI MAGHARIBI
i.Jimbo la Mtoni: Ussi Ame PANDU
ii.Jimbo la Mfenesini: Nasib Suleiman OMAR
iii.Kiembesamaki: Waride Bakari JABU
iv.Jimbo la Dole:Sylvester Massele MABUMBA
v.Jimbo la...
Huu ni uchunguzi wa muda mrefu ambao hata wewe ndugu msomaji hapa kama utajichungua basi mwisho wake utagundua kuwa wewe ni CUF damdam ,yaani hakuna ubishi juu ya jambo hili kamfano kadogo...
Kitaifa: CCM wameongeza mshahara wa wafanyakazi kinyemela
Kimkoa: Kyela wapata soko la zao la kokoa,kawambwa atembela miradi ya ujenzi Mbeya.
Just last week Dr Kawambwa alikuwa uko akikagua...
Kinyang'anyilo cha uchaguzi wa kura za maoni mwaka huu katika jimbo la Nzega kimeanza kwa vibweka baada ya mbunge wa jimbo anayemalizia muda wake Lucas L selelii kuzomewa mwanzo hadi mwisho...
imepata kusemwa siku chache zilizopita kuhusu sintofahamu ya mpendazoe kushindwa kura za maoni katika jimbo la segerea na kuibukia kinondoni kabla ya tetesi kuenea kwamba huko segerea amekata...
Akihojiwa na Clouds FM leo, January aliulizwa kama alimshirikisha baba yake katika azma yake ya kwenda kuomba uteuzi...
Wakati anajibu aliweka sentensi kuwa 'nilimwambia kuwa ...baba naenda...
Nimepata taarifa toka kwa mdau mmoja toka dodoma ambaye alifanikiwa kujipenyeza
kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya chama cha sisiem akawasikia wakisema wataicheza
tu kichama kuweka mambo level kwa...
Habari kutoka Dodoma zinadai kuwa aliyekuwa mbunge wa Mtera Mh. Malecela amepigwa chini wakati akiwa anategemea kurudishwa kwenye ugombea wa jimbo hilo. Habari vilevile zinadai kuwa Mzee Ruksa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.