Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
mbali na wananchi wa tz kuwa katika shida kubwa katika kipindi cha kwanza cha kikwete lakini ni umati mkubwa ulijitokeza jana kumuunga mkono mjini morogoro , sijui ni kwanini watu wamefurahisha na...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Malecela kumrudisha Sitta kwenye uspika Bunge la Tanzania likiendelea na mikutano yake Kizito Noya, Dodoma na Boniface Meena Dar WAZIRI Mkuu mstaafu, John Malecela amesema atafanya kila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii wa Filam Tanzania Juma Chikoka ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Ilala kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi {CCM}.Juma chikoka ambaye ameshiriki movie nyingi kama vile My...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
HATUA ya Makamu wa Rais, Dk. Dk Ali Mohamed Shein kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais wa Zanzibar, imeelezwa kusukumwa na wagombea Urais wa Jamhuri walioko Bara, Raia Mwema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
katika harakati za viongozi wa CCM wilaya Lushoto kumnadi Bwana Januari Makamba na kuwashawishi wananchi kumchagua, kampeni za kabla ya wakati zinaendelea ikiwa ni pamoja na vipepelushi vyenye...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
...Wapenzi kadhaa wa Dk Bilal.... walisema kwamba wanatarajia mara hii jina la Dk Bilal litarudishwa kwa sababu alikuwa muungwana mwaka 2000 Kamati Kuu ya CCM ilipompitisha Amani Karume kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kweli nguvu ya mafisadi imeonekana jimbo Same mashariki, na ukiona Mama Ana kilango analalamika kiasi kile bungeni basi AMINI ni masikitiko kutoka moyoni kwake....hali yake jimboni ni mbaya sana...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa kutambua umhimu wa elimu katika maendeleo ya binadamu, na kwa kutambua umhimu wa makuzi na ujenzi wa tabia ya mtu katika umri mdogo. Ningepata nafasi ya kuwa rais wa Tanzania kwa miaka 5 ijayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF Katika kuelekea uchaguzi october 2010 JK ameanza kujinadi kuwa atawashughulikia mafisadi na kusafisha chama(hii ni danganya toto) Hizi ndo zilikuwa siasa zake mwaka 2005 mpaka sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mh. Shamsi Vuai Nahodha Kasema akichaguliwa atwajanza Wazanzibari Mapesa.....Isije kuwa kama Mwenyekiti wa chama UDP alivyotaka kutujaza mapesa ila hukchaguliwa. Je Kama Vuai akichaguliwa ataweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana kwa kupata ujumbe wa kutoa ni moyo! Changia CCM kuanzia 300, 500 na 1000. Nimehuzunishwa kwani mimi si mwanachama wa CCM na wala sina ubia na chama hiki kilichojaa unyonyaji...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni wazi kuwa wanaJF wengi hapa ni wapenda HAKI. Naamini kati yetu tupo tutakaopiga kura mwaka huu. sasa nauliza umejiandaaje kulinda kura yako mwaka huu. Kumbuka kuwa siku hizi haki haidaiwi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU… Kambi ya upinzani kuwaanika askari watakaoishabikia CCM Imeandikwa na Shadrack Sagati, Dodoma; Tarehe: 26th June 2010, Habari Leo KAMBI ya Upinzani Bungeni imesema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wagombea wa CCM waweza kushinda bila ya uharamia na mchezo mchafu? Imekuwa ni kawaida kwa CCM kwamba kila unapokuja uchaguzi (hata ule wa wao wenyewe ndani (internal party elections) huwa ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari! CHADEMA imeendelea kujiongezea hazina ya wanawake wazuri wanaowania majimbo kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge mwezi Oktoba mwaka huu. Kati ya wanawake hao mmoja wao ni Leticia...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Inakuwaje mbunge ulalamike ati kuna watu wananyemelea jimbo lako! Kwani hilo jimbo umeliwekea "hatimiliki"? Nijuavyo mimi mtu anapopata ubunge, anadumu miaka mitano kisha uchaguzi unapowadia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa wan JF wenzangu, nimesoma gazeti moja la nyumbani TZ nikachanganyikiwa, kwanza kusikia makamu wa rais mzee wetu Dr Shein anakwenda kugombea urais zanzibar. Hilo pia nikaishia kukubali...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
WAKUU KWANZA POLENI NA MIHANGAIKO YA KILA SIKU YA MAISHA. KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEONA KUWA MH ABOOU AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRICA MASHARIKI AMEPATA MASTERS YA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU inafanya uchunguzi juu ya tuhuma za Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mbunge wa jimbo wa Isimani mkoani Iringa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom