Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais.
Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT...
Niseme kwa dhati kabisa bila kumung'unya maneno mimi nakubali sana utendari wa dk magufuli amefanya mambo makubwa sana na ameonyesha njia.
Mfano nzuri tu ni mradi wa Rufiji hapa nampongeza kwa...
Rais Magufuli ametangaza rasmi kuwa kesho Oktoba 28, 2020 itakuwa ni siku ya mapumziko ya Kitaifa ili kuwapa fursa Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kwenda kupiga kura "nawaomba tukapige...
Wadau.
Nimeona Watumishi wa Serikali kwa asilimia kubwa ndiyo wasimamizi wa Uchuguzi Mkuu 2020. Hawa tayari wana ajira na juzi tu wamepata mshahara.
Kwa nini vijana walio mtaani (graduates)...
Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa...
Yamebaki masaa machache kabla hatujaenda kujipanga katika foleni kuelekea katika masunduku ya kupigia kura. Hili kila mtu mwenye akili timamu analipatia uzito wa kipekee kwani ndio muamuzi wa...
MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania.
Ametoa wito kwa washikadau wengine, Vyama vya...
Wandungu, kesho mkiona watu wamejitokeza kwa wingi kupiga kura, basi mtambue hiyo ni dalili ya mapema kabisa kuwa Lissu na wagombea wengine wa upinzani wanakwenda kupata kura nyingi na za ushindi...
Rais wa CCM na CCM yake, na polisi wake na wateule wake na vyombo vingine vya kisheria na dola, hawaamini katika demokrasia. Wao wakisikia Chadema wanachukulia kama ni waasi au magaidi. Kwa hiyo...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm...
Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa...
Waungwana,
Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasichague kiongozi kwa sababu ya jazba au hasira.
Ametoa wito huo leo...
Licha ya kwamba Rais Magufuli hajafanya vizuri katika suala la ajira ila binafsi bado nna Imani naye kuelekea tarehe 28/10/2020 hivyo anastahili kupewa miaka mitano tena katika utawala wake...
Zamani tulikua tunafundishwa majukumu ya ulinzi yalivyogawanyika. Kwa kumbukumbu zangu mgawanyo ulikuwa hivi:
1. Usalama walikua na jukumu la kukusanya kuchakata na kushare taarifa kwa jamii na...
Mimi Daddo mkazi wa Dar es salaam na mtumishi wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika moja mashirika ya umma yaliyopo.
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifatilia kwa karibu mwenendo...
Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu...
Ndugu wanajukwaa wasalaam,
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ninahakika unayesoma uzi huu unafahamu kwanini umeufungua ili uusome.
Kwa muda wote ambao serikali ya awamu ya tano imekuwa...
Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge...
Mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania kuchagua viongozi ambao hawatakwenda kwenye mabaraza ya madiwani na bungeni kusaka fedha.
Lissu ambaye ni makamu mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.