Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania Sura yake mtaiona kwenye karatasi...
10 Reactions
99 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa...
12 Reactions
109 Replies
10K Views
Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe. Ushauri: CCM achaneni...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema wananchi wanatakiwa watafakari kwa kina wakati wanapochagua kiongozi kwa kuwa uongozi wa nchi...
-1 Reactions
38 Replies
3K Views
MTU DHAIFU HUTAFUTA UPENDELEO; JE LISU ANAPAMBANA NA MTU DHAIFU? Na, Robert Heriel Kikawaida watu dhaifu hutafuta kupendelewa, hutafuta dezo kwa watu. Pia kikawaida watu dhaifu ndio hupewa...
16 Reactions
27 Replies
2K Views
NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS ILI NISIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" TANGA- MKINGA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Baada ya kuishiwa hoja mmekuja na slogan kwamba maendeleo ya vitu hayana maana Kwamba ndege zilizonunuliwa hazina maana, mkasahau kuwa ndugu zetu walipokwama India tuliwafuata na Ndege yetu...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Malalamiko yaliyofikishwa kwenye tume ya maadili ya uchaguzi ni pamoja na kumuita Gwajima kuwa ni Chokoraa, aidha ametoa madai yasiyoweza kuthibitika ni kudai kuwa mchungaji Gwajima anatembea na...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Uteuzi wa Mrisho Gambo Jimbo la Arusha umepokewa kwa mitazamo Tofauti ukizingatia kwamba siku Rais John Mgufuli akimtumbua ukuu wa Mkoa huo watu wengi walifurahia na kuonekana wakimwaga pombe bar...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Ukihudhuria kwenye kampeni za CCM, tishet utapata, kofia utapata, mauno utayakata, machambo utayakata, vitisho utavipata, yaan kila aina ya burudani utavipata, wengine hata kutembea na wake na...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Ohoooo Gambo Anasema CCM wafanye vurugu ili Jimbo tu la Arusha lirudi CCM! Msisitizo, Wafanye hata Vurugu..... Hii kauli ingetolewa na Upinzani mmmmghh.. Leo May 27, 2018 Mkuu wa mkoa wa Arusha...
5 Reactions
138 Replies
18K Views
Msikilizeni huyu kijana. Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu. Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania. CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni. =======...
16 Reactions
70 Replies
10K Views
Dear friends and colleagues all over the world, I am delighted to write to you on this very special day as we are counting 20 days to general election. I am sure you have heard a lot potraying...
9 Reactions
68 Replies
4K Views
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:- 1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anatokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini...
68 Reactions
119 Replies
16K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Kilave Dorothy George ameendelea na kampeni za kunadi sera zake pamoja na Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika kampeni hizo mgombe huyo ameweka wazi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
TANGA TANGA TANGA PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO MUDA: SAA 10: 00 JIONI
1 Reactions
11 Replies
1K Views
MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA"PROF.LIPUMBA" MULEBA KAGERA Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom