Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jk cannot afford to ignore this mans experience. Minister of Tourism and Natural resources... Tourism executive elected to join Tanzania parliament TANZANIA (eTN) - In an unprecedented...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Haiwezekani hapa Arusha pamoja na CHADEMA kushinda kiti cha ubunge, madiwani nao pia ni wa kumwaga alafu eti Kikwete anaongoza kwa kura. Hivi hawa CCM na NEC watufanya sisi watanzania wapumbavu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
]wasanii wengi wa filamu na muziki hawakumsapoti josephy mbilinyi na wengi waliegemea kwa mafisadi sasa kwa sababu wabunge ccm huwa hwana mpango na wasanii wafikapo bungeni zaidi ya kuwatumia ktk...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
lowasa (CCM)- 39000+ Mch (CHADEMA) - 2000+
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana nilisoma gazeti la mwananchi likidai msimamizi wa uchaguzi jimbo la segerea alikamatwa akitoka kununua chakula, alipopekuliwa alikutwa na nyara za tume ya uchaguzi, ikiwa pamoja na mihuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Its very sad that Bro Edo traved all the way from Monduli kuja kusaport Dr. Batilda asisain defeat. Rumours are that they even negotiated kumnunua Lema @TSHS 900MILLION from different sources. Why...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
GAZETI LA MWANAHALISI LILITABIRI KILA KITU KINACHOTOKEA HIVI SASA SOMA HAPA CHINI. MWANAHALISI YA OCTOBER 6.2010. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii Ndugu yangu aliyekuwa katika kituo cha Community Centre Nzega mjini amekutana na kundi la wazee wawakilishi wa TEMCO wakiwa na mafulana yao meupe ya utambulisho wa TEMCO. TEMCO si...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ccm acheni unafiki wa kumwambia slaa akubali tu matokeo wakati huohuo mnashindwa kuwaambia wagombea wenu walioshindwa waache kukimbilia mahakamani . Onyesheni nyie mfano kwanza kwa kuwapiga stop...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika Jimbo la Monduli Edward Lowassa CCM 3236 Molel Aman Chadema 2358 Lakini Uchaguzi wa Rais Kikwete CCm 27198 Wilbroad Slaa 5446 Wapi Kikwete kapata kura zaidi ya lowassa ina maana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The time is now. this is the time to make the better Tanzania for the coming generation. They greedy, the want to have everything. they will never be satisfied. Kiwete is like a devil who wants to...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
1.Ni kweli demokrasia ya Tz kama ilivyo nchi nyingi hususani za Afrika bado inahitaji kukua. Kutahitajika kuwepo mabadiliko ya katiba, sheria na hata muundo wa Tume yetu ya Uchaguzi na wasimamizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuona Chama Cha Majambazi wanapoteza ushindi alitoa amri ya kutokutangaza matokeo ili Watanzania wagiribike lakini wapi, Je Dr. Slaa anaweza kumpa uwaziri wa mambo ya nje ili aridhike na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ivi NEC wanaweza kutuambia kuna tatizo gani kila jimbo kutangaza matokeo yake ya uraisi. Unless kama kura za uraisi zimepigwa kwenye ofisi za NEC? Kazi ya NEC ingekuwa kutupa idadi by...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Serikali iliyotwaa madaraka kuanzia leo visiwani ni ya vyama vya CCM na CUF. Kwa hiyo chama kikuu cha upinzani Zanzibar ni kipi, Jahazi asilia?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauliza kwa sababu nashindwa kuelewa maana wao ndio walikuwa muhimu kutuletea habari zote sahihi za uchaguzi na Mwenye kibao wa tume angekuwa kazi yake ni kukat na kupest sasa hii ya kukat tu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu zanguni wana JF uchaguzi wa mwaka huu kilichotokea ni kama mazingaobwe, na isingekuwa nguvu ya umma ya kudai matokeo basi nadhani ndo yangechakachuliwa zaidi ya hapa. ndugu zangu wana JF leo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafadhali angalia blog ya Issa Michuzi tarehe 4/11/2010 mwanzo mwanzo wa siku. Hii ni kuzidi kuchanganya watu, inakuwaje hasa?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa katiba yetu,mshindi wa nafasi ya urais akitangazwa hakuna chombo chenye mamlaka ya kuhoji.Kwa namna hiyo basi nawashauri viongozi wa Chadema,kama sheria inaruhusu wawasilishe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa takwimu zilizomo katika gazeti la mwananchi, inaonyesha kwamba waliopiga kura jumla yao ni 20,445,725. NEC ilisema wapiga kura walikuwa ni 19+ milioni. sasa hii milioni nyingine imetoka wapi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom