nafkiri atakubaliana nami jinsi matokeo yalivyokuwa wazi. sio sasa hivi.....yale ndio yalikuwa matokeo bwana. SLAA tuko pamoja brother. mungu anasikia kilio cha wengi.
Sote tunajua kuwa given the fact that miji yote mikubwa imechukuliwa na opposition there are a few assumptions to make:
1.If the rulling pary is gonna be CCM then dont expect maendeleo in your...
nimefurahishwa sana na uamuzi wa wananchi katika majimbo mbalimbali kwa kusema hapana kwa mafisadi.ccm ijifunze kwa miaka mitano inayokuja tofauti watakiona cha moto 2015.
Mgombea wa CCM Mheshimiwa Saning'o Telele kamshinda mgombea wa Chadema Bw. Parkipuny..........in a close race.........takwimu zitawekwa baadaye......wametangaza sasa hivi.
pengine iwekwe hadharani kuwa tume ya uchaguzi ni moja ya taasisi zilizowekwa kwa ajili ya kuibeba ccm. Hii imewekwa wazi na mmoja wa wapiganaji wetu ambae amesema wazi daima ccm imejiwekea...
naomba nitofautiane na wengi wetu hapa JF.
mtu anapoleta habari si lazima awe na data. hata tetesi, uvumi, umbea nk zote ni habari ili mradi zisiwe za uongo.
hata ukichunguza habari nyingi...
Paste Update please:-Hadi sasa ....!
Chadema viti vya Ubunge ----------- ??
CCM viti vya Ubunge ----------- ??
CUF viti vya Ubunge ----------- ??
Viti vya ubunge Tz...
Waangalizi wa Commonwealth wamefyatua taarifa yao ya awali ya kutathmini chaguzi yetu bila ya kujua ya kuwa haina tambuzi kuwa hatuna Tume huru ya uchaguzi ila tuna Tume ya Uchaguzi ya chama cha...
Wakuu hebu tulist majimbo amabayo yalikuwa na utata mkubwa wa kujaribu au kufanikiwa kuchakachua kura za Wadanganyika....
Mie naanza na 1. Shinyanga 2. Kigoma Mjini 3.....
Mhe Slaa,
Umejitahidi sana kuongeza changamoto katika medani za kisiasa Tanzania. Umeipandisha chati Chadema na huenda wewe kama mgombea wake ukapata 20% ambayo itakuwa ni historia kwa chama na...
Huu ndio ukweli. Juu ya mwamba huu (ushindi wa upinzani majimboni) tuko katika maandalizi ya dhati ya kujenga taifa la kudumu. Jk analenga urais tu kwa sasa ila udiwani na ubunge kavisusia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.