Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers
RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa...
0 Reactions
2 Replies
207 Views
ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi...
0 Reactions
5 Replies
295 Views
Tupigie 0743257669 #Watalaamu waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe ✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA 📍HAVIJAI KABISA...
0 Reactions
3 Replies
224 Views
Wataalam naomba rough estimate ya msingi wa kijumba chenye GHOROFA MOJA, ukubwa wake ni 7680x9270. Gharama ya msingi hadi kufunga mkanda ni kiasi gani cha fedha, Eneo ni flat kabisa. Je, hatua...
14 Reactions
224 Replies
48K Views
SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa...
0 Reactions
4 Replies
290 Views
Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni...
4 Reactions
12 Replies
780 Views
Watu wengi kulalamika na kufikia hatua ya kuchukia makazi Yao wakidai, 1. Mbona nyumba yangu sio nzuri Sana? 2. Mbona nyumba Ina joto kubwa Sana? 3. Mbona hewa inayopatikana ni kama Ina vumbi au...
6 Reactions
11 Replies
669 Views
Tunatoa huduma za: 1. Gardening and landscaping 2. House molding and decorations Ushauri na mitazamo yakinifu ni bureeeeee kabisaa. Chukua hatua, nipigie kwa namba 0714693107. Napatikana dar es...
1 Reactions
1 Replies
189 Views
Habari waheshimiwa. Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike. So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa...
4 Reactions
75 Replies
3K Views
Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
0 Reactions
1 Replies
225 Views
Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
0 Reactions
8 Replies
568 Views
Poleni na majukumu wa JF! Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
1 Reactions
28 Replies
20K Views
https://www.youtube.com/watch?v=lLChdeK88RY
1 Reactions
8 Replies
595 Views
KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA. Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
BILIONI 45.6 KUKAMILISHA MIRADI YA DHARURA KAGERA Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At...
5 Reactions
30 Replies
878 Views
Hivi wenzetu wafaransa waliweza vipi kupangilia vizuri namna hii miji yao.mfumo wao wa ujengaji makazi ukoje ? Ukilinganisha na hapa kwetu Dar ambapo ndiyo wtz wengi wanapasifu,unaona kabisa...
6 Reactions
17 Replies
801 Views
TANRODS ISIMAMIE MIRADI YA CSR IJENGWE KWA KIWANGO Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
ULEGA AMBANA MKANDARASI DARAJA LA LUKULEDI-AMPA MIEZI MITATU LIKAMILIKE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Back
Top Bottom