Hope wazima wakulungwa
Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki...
Wadau,
Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi.
Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana?
Tupeane ushauri.
Habari wakubwa
Katika harakati za Ujenzi naomba kufahamu kwa wajuzi na wazoefu katika hatua hii ya skimming kwenye Jengo ukuta wa nje.
Kimsingi ningependa kufahamu skimming ipi ni bora na imara...
Habarini wakuu, nishaaandaa bajeti hiyo na bati, nahitaji kujenga nyumba location ni Mbeya City, naombeni kupata uchambuzi wa yanayohitajika namimi nimiliki mjengo 2024
Sent from my SM-A127F...
Husika na kicha cha habari hapo juu.
Huyu fundi kanistua, nondo za kusimamishia nyumba ya flow moja kaniambia badala ya kutimia binding wire tuzi chomee
Nilikua nawaza hapa chuma za kuchomea...
Miaka yote mlikuwa wapi? Watu wamekwisha wekeza ninyi ndio mnajitokeza na kudai ni maeneo yenu? Je, hii ni haki? Sheria za ardhi zinasemaje kwa maeneo yasiyoendelezwa kwa miongo kadhaa?
Na je...
Rejea kichwa habari hapo juu,
Napenda kujua ni dawa ipi nzuri ambayo naweza kutumia maana na site yangu kuna chumba kimoja kinasumbuliwa na mchwa nichatumia ma oil mixture petrol nikachanganya na...
Nawasilimu wadau wote wa ujenzi na makazi,
Nimekuja kwenu kuomba msaa wa makadirio ya nyumba ina vyumba vinne (10*11 Vitatu, Master 13*14), sitting room, jiko na dinning pamoja na veranda mbili)...
BILIONI 4 KUJENGA AMBULANCE BOAT KUPITIA TASAC ZIWA VIKTORIA, MWANZA
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) December 22,2023 imetia saini mkataba wa mradi wa...
Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu...
Habari ya muda huu,
Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.
Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali...
Kumekuwa na mijadala mingi juu ya nyumba zilizoezekwa kwa mtindo wa kuficha paa la nyumba, ilionekana nyingi zinavuja sana. Mimi mwenyewe nikiwa mhanga wa jambo hilo.
Nyumba ilikuwa ikivuja sana...
Mzuka wanajamvi.
Naomba kuuliza ghorofa kama hili kujenga hadi kulimaliza linagharimu shilingi ngapi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Cc mrangi Sky Eclat Pdidy dy Mr Q Mzee Kigogo
Habari Wana jamvi la Jf naomba msaada kidogo kuitatua shida ya sim niliyo nayo apa kwa mwenye uzoefu sim hii nimesahau password wakufungulia screen hivyo kwa chochote nachoitaji kufanya katika sim...
Vipi wakuu,
Naona madirisha ya aluminium siku hizi ndio mpango mzima ila kuna wale bado tunaopendelea madirisha ya chuma.
Mlio na ufahamu wa bei ya madirisha ya chuma currently naomba mtusaidie...
NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA.
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji...
Habari wakuu,
Kuna boma nilinunua huku mkoani nilipo, lilikua limebakia kupauliwa tu ni boma la vyumba vitatu, master bedroom, public toilet, sitting room, dinning, kitchen na stoo, ina veranda...
Habari wadau naomba kuuliza kujenga msingi wa nyumba ndogo ya chumba kimoja inaweza gharimu shilingi ngapi?Nimeweka picha hapo chini.
Vipimo vyake ikiwa ni mita 6 kwa 6
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.