KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
SURA YA TATU MAADILI NA MIIKO YA UONGOZI NA UTUMISHI WA UMMA SEHEMU YA KWANZA MAADILI YA UONGOZI NA WATUMISHI WA UMMA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuchamba kwingi huondoka na kinyesi, nimeshangazwa kuona leo viongozi wanalia kwenye nyuso za waandishi wa habari, kama mtakumbuka wakati mchakato unaaza wa katiba huku zanzibar, tuliandamana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu waandishi wa habari, Natumaini mna taarifa kwamba tangu Ijumaa iliyopita, nimefungua shauri Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, kupinga kinachofanywa na Bunge Maalum la Katiba. Shauri...
26 Reactions
120 Replies
16K Views
MAALIM SEIF wa ZANZIBAR aweza kuwa kama MOGAN TSCHANGERAI wa ZIMBABWE au RAILA ODINGA wa KENYA kama walivyotupwa nje katika uchaguzi uliofanyika mara baada ya kuwepo katika serikali ya MSETO kwa...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Kaulii hii nimeona kwenye magazeti leo, ni kauli ya kisanii ambayo sikutegemea kama ingetulewa na mtu mzima mwenye hadhi ya Sitta. Eti kinachoandikwa na mwanadamu hakikokosi makosa kwani pale...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Katibu Mkuu wa Chadema Dk Willibrod Slaa (wa tatu kushoto) baada ya mkutano wa vyama vya siasa vyenye wabunge mjini Dodoma jana, Wengine kutoka kushoto ni Profesa...
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Katiba mpya sio ilani ya CCM, na CCM wanajitahidi kuipinga kwa vitendo ikiwamo kuyakataa maoni ya wananchi na kuweka maoni yao (ambayo kimsingi ni katiba iliyopo sasa) na kuhakikisha kila kifungu...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Je hamuoni kwamba maoni ya wengi ni cut and paste? Hii inaonyesha kuwa katiba inayotengenezwa iliishajadiliwa hata kabla ya kuunda BMK. Na ndio maana CC ya CCM ilibariki baada ya kuona mwenendo...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Ukifikiri kwa makini, utaona kwamba wengi wa wale wanaopinga kwa nguvu suala la uraia pacha wanajua kwa dhati kabisa wao binafsi katika maisha yao hawana nafasi ya kuja kuwa raia pacha. Wanaona ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Online live streaming ya Bunge la katiba ni vipi wandugu. Hakuna sauti inatoka. Au wanaficha watu tusijue uchakachuaji wanaoufanya?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Wanitajie serikali yoyote duniani yenye nguvu ambayo haikusanyi kodi inategemea hisani ya serikali nyingine! 2.Waniambie mapato ya serikali zote tatu 3.Wanithibitishie kama serikali zitafanya...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Tayari mwenyekiti wa bunge maalum samwel sitta ameanza kuhujumu Bunge hilo kwa kuhujumu Hotuba ya Warioba leo hii. Sitta amevunja kanuni kwa kulazimisha Warioba aanze kuhutubia leo ili Rais JK...
6 Reactions
266 Replies
33K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Natumaini kwamba hamjambo na Mungu Muweza amewaafikisha kuiona vema siku ya leo. Kwa wale wagonjwa tuzidi kumuomba Allah awajaalie wapone mapema. Na wale waliotangulia...
10 Reactions
665 Replies
69K Views
Je kisheria Bunge Maalumu la Katiba Tanzania linayo mamlaka ya kukusanya maoni? Je linayo mamlaka ya kubadili vifungu vya Rasmu ya Katiba ya liyowasilishwa Kwa Rais wa Jamuhuri wa ya Muungano wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumaini ni wazima wa afya njema kwa wanajamii forums. bunge maalumu la katiba 1.mwanyekiti anaanza kwa kutoa taarifa kuwa leo ni uwasilishaji kutoka katika kamati mbalimbali. 2.mwenyekiti wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ndio PRESS RELEASE iliyosomwa na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki siku ya 27 August 2014 kwa waandishi wa habari jijini Dodoma. Ndugu waandishi wa habari, katika mfumo wa sanaa wa nchi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakitarajiwa kuendelea na vikao mjini Dodoma kesho, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Antony Lusekelo, amesema kuwa hali ya kisiasa hairuhusu nchi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mapendekezo kwenye Rasimu Mapendekezo kwenye Kamati za Bunge 1. Muungano wa Serikali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada kamati mbalimbali za bunge maalum la Katiba kumaliza shughuli za awali tangu liliporejea tena agosti 5 mwaka huu, kesho tarehe 02/092014 Bunge hilo linarejea na litarushwa moja kwa moja na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
We all know that, a complex idea can be conveyed with just a single still image. in other words, a picture is worth a thousand words! Watanzania tuna safari ndefu sana katika kuzielewa siasa za...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom