KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wengi mnajiuliza CCM wanapata wapi kiburi cha kuchakachua kila sheria na kanuni tangia mchakato huu wa katiba uanze. Intelijensia yangu inaniambia ndani ya bunge la katiba wale wajumbe wa kundi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati hakuna shaka, Waislamu ni wachache katika nchi ya Uganda, Katiba ya Uganda inatambua uwepo wa Mahakama ya Kadhi katika ibara ya 129. The...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau , Huo ndo ukweli ulio wazi kuwa kwa mchakato ulivyovurugwa namna hii, Katiba mpya haitapatikana, Swali ni tuwafanyeje hawa ccm 2015 Kama yupo anyeamini katiba mpya itapatikana mwaka huu au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi habarini, ni imani yangu kuwa muu bukheri wa afya. Ni hivi majuzi niliweka andiko langu lililokuwa na kichwa.."KINACHOENDELEA DODOMA NI UHANI"..Kutokana na nilichokishughudia leo kwenye...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa yanayoendelea sasa Dodoma katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba ni wazi kuwa mchakato umekwama. Mosi, ukusanyaji wa maoni unaendelea kufanywa chini ya Uenyekiti wa Ndugu Samwel Sitta...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa ufupi Alisema baada ya kupata taarifa hiyo, alikwenda karibu na hoteli hiyo kuchunguza ukweli wa jambo hilo na kabla ya kuingia ndani alimwona mtuhumiwa akiwa na mtu mwingine ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikimfuatilia Mpanju katika mijadala mbalimbali katika vyombo vya habari pale anapoalikwa. Lakini pia katika hawamu ya kwanza ya Bunge la katiba, bahati mbaya sijawahi kumsikia akiongelea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Soma mpaka mwisho. ============= Barua ya wazi kwa wajumbe wa bunge la katiba Naomba nafasi kutoa maoni zaidi juu ya umuhimu wa Uraia pacha kwa watanzania hili wote tuweze kunufaika. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nafuatilia ngongeza mbali mbali zilizoachwa makusudi kabisa ili zije ziwekwe kwenye Rasimu ya Tanganyika ikiwemo Serikali za mitaa na Takukuru kwa chache! Napenda kuwakumbusha wajumbe kuwa wasije...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MBUNGE wa Mpanda Mjini, ambaye ni mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Said Arfi (Chadema), ameelezea matamanio yake kuona wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Walioshika Mpini wako tayar kusimamia chao kwa gharama yeyote maana hamna kitu kinatisha kama njaa Swali ni moja tu sisi ambao tunataka mabadiliko je tupo tayari kumaanisha kusimamia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Lilipoanza Bunge la katiba nilidhani muda wa kutoa maoni umekwisha hasa baada ya Tume ya Warioba kuvunjwa,lakini baada ya kusikia kwamba maoni yanaendelea kukusanywa nimeamua na mimi kupeleka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
KATIBA MPYA: Bunge la Katiba limevunja sheria kwa kukusanya maoni kwani kazi yake ni kujadili rasimu pekee, N/Mkurugenzi wa habari Cuf M. Kambaya asema leo Dar.
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Tunashuhudia mapungufu mengi ya kifikra ktk bunge la katiba,tunashuhudia waziwazi wajumbe ktk kamati zile wakiweka mambo yanayowafurahisha wao na kuondoa yaliopendekezwa na wananchi mfano mbunge...
1 Reactions
1 Replies
616 Views
Akizungumzia hatua hiyo, Jaji Warioba aliponda kitendo cha kukusanywa upya kwa maoni hayo akisema yalishachukuliwa na Tume yake na kuingizwa katika Rasimu ya Katiba. "Nyaraka zote za maoni...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Nadhani jinsi mmambo yanavyokwenda, ni Mhimili wa Mahakama tu, kati ya ile Mihimili 3 ya Dola ndiyo italiokoa taifa hili kutokana na madudu yanayoendelea pale Dodoma chini ya Uangalizi wa CCM +...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa BMK hupaswi kubezwa, anapaswa kupongezwa. Tume ya warioba imekusanya maoni kutoka kwawatanzania 350000 tu. Katiba mpya ni mchakato wa wananchi ambapo mawanda mapana ya ushiriki wao...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tafadhali embu tuambiane ukweli taifa hili ili lisonge linahitaji ukweli. Naomba tujadili kwa uwazi na ukweli ni wapi UKAWA walipokosea na kupatia katika harakati za kuandaa katiba mpya?
0 Reactions
5 Replies
919 Views
Uwezo wa ama bunge maalum la katiba liendelee na mchakato au liahirishwe ulikuwa mikononi mwa Samwel Sitta wakati wa kikao cha dharura cha kamati kuu CC ya CCM, imefahamika. Samwel Sitta alipewa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Sikiliza kwa Makini. Hayo utakayo yasikia hata Bungeni yaliongelewa na Mheshimiwa Tindu Lissu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom