Habari wanaJF wenzangu, hivi najiuliza je Mwalimu Nyerere na Mzee Karume waliwashirikisha wananchi katika kufanya maamuzi ya kuinganisha Tanganyika na Z'bar?
Inasemekana watanzania weng nchini wameongezeka ktk ofis za uhamiaji ku-apply passport kwa taadhari ya kutokea lolote Na wao kujua lilipo chimbo.Takwimu zmepanda ghafla...chezea hofu weye!!!!!
licha ya kuwa kila mpinzani anaesimama bungeni hutoa hoja na takwimu kutoka katika rasimu ya tume ya mheshimiwa jaji warioba na kuelezea kinaga ubaga lakini ccm wamebaki na misimamo, kushangilia...
Siasa nchini kila kukicha zinapata sura mpya ndani ya baadhi ya vyama vya siasa na pia katika baadhi ya makundi na watu mbali mbali.
Ikumbukwe kuwa, baada ya uchaguzi Mkuu 2010, CHADEMA walikataa...
Eti Utasikia Ooh! Serikali Tatu Ni Gharama Kwani Kama Mke Umemshindwa Si Bora Ukamuacha.Zanzibar Hatutaki Serikali Mbili Kama Mumeshindwa Kutekeleza Matakwa Yetu Si Bora Muka Tuachia Nchi Yetu...
BAADA ya wahafidhina kuamini kukanushakanusha hainufaishi dhamira zao mbaya, wameamua kupotosha. Wanavitumia vyombo vya dola maana mabunge ya sheria hayatoshi.
Wanatumia makanisa kutisha na...
Jioni ya leo Rais Wa Tanzania Jakaya Kikwete alikuwa
na mazungumzo na alikuwa akitoa hatuba yake.
Ni yayo kwa yayo,maji ya futi na nyayo. Hotuba yake
imejikita kwenye ubaguzi,ukabila kama vile...
Kuna mama mmoja anatambulika kwa cheo cha DR,juzi alichangia kwa kujiamini kabisa kuwa Rasimu ya 2 ya Katiba mpya imetokana maoni ya watanzania million 2.K'hiyo hawawezi kuwakili watanzania...
Hadi kuahirishwa kwake leo kupisha Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Bunge la Bajeti,Bunge Maalum la Katiba limeshatumia siku 67. Kimahesabu, Bunge Maalum limebakiwa na siku 3...
WAKANDARASI wanaeendelea na kazi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameaswa kufuata mikataba ya kazi zao tofauti na ilivyo sasa kuwa wanafanya kama watakavyo kwa kujilimbikizia mali,kwa uda mfupi kwa...
Wakati bunge linaendelea kuna mjumbe mmoja wa Bunge la Katiba Kaanguka na kubebwa kupelekwa nje. Kwa walioko bungeni wanaweza kutujuza kilichompata.
Mimi nimeona kupitia TBC1.
Thursday, 24...
KATIKA HALI YA KUSIKITISHA NA INAYOKATISHA TAMAA NI KUONA KILA PANAPOFANYIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KITETO KAZI KUBWA NI KUREKEBISHA WATAALAMU AMBAO WANA MADIGREE,KUWA TAARIFA ZAO SIO SAHIHI...
Hana point ya maana anajifanya kulia bungeni kisa eti waasisi wametukanwa.Babu zao walishirikiana na hao waasisi.Hawa ndiyo masheikh wa Bakwata usanii mtupu.
Wakuu hongera na mishe mishe za kutafuta rizki! Nakumbuka nilipokuwa napigana na mdogo wangu kama vile hatukutoka tumbo moja!; lakini kwa umoja wetu tunaungana bila sababu pindi mmoja wetu wetu...
Siku 70 zilizotumiwa na wabunge wa bunge maalam la kutunga katiba zimemalizika. Bunge hili limetupa mafunzo na kutuachia makovu mabaya mioyoni mwa watanzania wa pande mbili za muungano.
Miongoni...
Inasikitisha sana hali inayoendelea
ndani ya bunge la Katiba huko
Dodoma. Awali, ilionekana kikwazo
au wenye matatizo ni wapinzani
ndio wlaiokuwa wkaitukana na
wengine wamesema eti...
Ndugu Watanzania wenzangu mabibi na mabwana, nimeambatanisha makala ihusuyo katiba mpya.
Napenda kuwakaribisha kwenye jukwaa hili ili tujadili kuhusu katiba yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.