KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Nasikitishwa na uelewa mfinyu wa baadhi ya wabunge wetu pale wanapowanyooshea wabunge wa bunge maalum la katiba toka zanzibar kwa kubadili msimamo wa 61% wa muungano wa mkataba na kudai serikali...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Wanajf, Hii ni ajabu na kweli na ingefaa iwekwe kwenye maajabu ya dunia. Kuna mwanaukawa mmoja ambaye ni kundi la 201 jina nalihifadhi kwa sasa, wa jinsia ya kike, mrefu mweupe huingia bungeni...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna tetesi kwamba CCM haitaki mchakato Wa kutafuta katiba mpya uendelee. Kwa hiyo wamejiwekea options mbili; 1. Kama mchakato utaendelea basi uendelee kwa kuhakikisha 'maslahi ya chama'...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii ndiyo statement aliyoitoa jioni ya leo: Nimeona taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Nimeshangazwa na maudhui na lugha iliyotumiwa. Naomba kutoa ufafanuzi...
8 Reactions
172 Replies
21K Views
Utafiti wa kiyasansi uliofanywa na taasisi ya twaweza umeonyesha kwenye page 8 figure 9, kwamba 25% ya watu wa bara na 5% ya wazanzibari wanataka mfumo wa serikali mbili uendelee. Zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa busara kabisa msikae hapo mkidanganya na kudanganyana ,UKAWA wasingeweza kukaa hapo kuhalalisha maslahi ya CCM ,maslahi ambayo yamejengewa ngao kwa kujaza CCM kila rangi ,hilo limeshitukiwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuwauliza viongozi wa dini waliko dodoma mbona matusi yamezidi? Wakati ukawa awapo bungeni
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Harakati za kutafuta uhuru hazikuwa rahisi kwani serikali ya Waingereza iliyuwekwa kuisimamia Tanganyika, haikuwa tayari, kwa wakati huo, kuipatia uhuru nchi ya Tanganyika. Mbinu nyingi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UKAWA will part the waters of "Red sea" and deliver us to the promised land.
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Written by zamko 23/04/2014 Ndugu Wazalendo wa Zanzibar na Wale wa Tanganyika/Tanzania Bara ambao wanaipendelea Nchi yetu hii impya ya Tanzania kuwa na Umoja, amani, Utulivu na Muungano wenye...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ama kweli huku duniani hasa afrika inatawaliwa na madikteta na sio viongozi wenye nia ya dhati ya kutatua matatizo ya wananchi wake. Hakuna hata mjumbe mmoja wa ccm katika bunge la katiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mtanzania wa kawaida huwa napenda kujifunza na kuiliza, Jana mjumbe wa bunge maalum la katiba Paul Makonda akiwa anachangia bungeni aliwaita UKAWA ni mashetani, je ni kweli ni mashetani...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hv wakuu kama si akili za kijinga ni Sheria gani mbunge huyu Jasson Rweikiza alitaka itumike ili Pro Lipumba ashitakiwe nayo? Ndani ya bunge si kuna kinga? Tena baadae anawapa waziri wa mambo ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Samahani wadau wa JF naulizia alipo gwiji wa sheria Mzee Safari kwani pamoja na kuteuliwa kushiriki kwenye bunge la katiba,sijawahi kumwona! Mwenye habari kamili atujuze.
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwanza anasema kiongozi husimama kwa miguu yake na yeye hastahili kuitwa MSALITI KWA SABABU MWAKA 1984 ALIWAUNGA MKONO WENZAKE WALIOFUKUZWA NA mzee Mwinyi naye akamfukuza sasa iweje leo aitwe...
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Wajumbe wa CCM na baadhi ya wajumbe 201 wa Rais mliobaki bungeni Dodoma, tunaomba mtutungie katiba mpya iliyo bora. Acheni habari ya kuwatukana UKAWA walioamua kujitoa kwenye mchakato, matusi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anaendelea kuchangia hivi sasa, anasema kumtibu kiongozi mmoja nje ya nchi si chini a milioni 400, msafara wa kiongozi mmoja nje ya nchi si chin ya milioni 500, hizi zote ni gharama za kodi ya...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Kuna option mbili tu kuhusu muungano wetu. Serikali ya Zanzibar ife tuwe na serikali moja ya Tanzania. Au Serikali ya Tanganyika izaliwe kama ilivyo ya Zanzibar ie tuwe na serikali tatu...
1 Reactions
6 Replies
866 Views
Katika kipindi cha hotmix jioni hii mwanafunzi (dada) ambae amejitambulisha kama mwakilishi wa wanafunzi wa elimu ya juu Dar es salaam amesema kuwa msimamo wa wanafunzi wa elimu ya juu ni...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
Moja. Rasimu hii ni ya Jamuhuri ya muungano ambao inapendekeza uwe shirikisho. Kwa maana rasimu hii haihusu mambo mengi sana ambayo siyo ya muungano. Je hayo mambo ambayo siyo ya muungano...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Back
Top Bottom