Hayawi yamekuwa mkutano wa kuwapongeza wajumbe wa Zanzibar uliofanyika K/maiti mjini Unguja umekuwa na dalili za msiba mkubwa ugongao nyoyo kwa chama hicho kizee hapa Tanzania ,mkutano huu umekuwa...
Wana jamii, baada ya kuisoma Rasimu ya Pili ya Katiba na Katiba iliyopendekezwa na BMK na baada ya mmoja wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutoa changamoto ya kwa nini tupige kura ya...
Ndugu Wadau.
Nimem-NUKUU "Jaji Warioba akisema jambo jingine lililoondolewa kwenye Katiba iliyopendekezwa ni MAMLAKA NA MADARAKA YA WANANCHI KUWAWAJIBISHA WABUNGE WAO wasio wajibika.
"RASIMU...
WanaJF,
Kumekuwa na upotoshaji na ujanja mkubwa wa wanasiasiasa hususani CCM ambao wamefanikisha kuandaa katiba yenye kulinda masrahi ya watawala kwa kiwango kikubwa. Mimi kama mwananchi ninatoa...
Katika hutuba yake, katika sherehe ya kukabithiwa Rasimu ya katiba Mpya ya CCM pale Dodoma Jana alisema kua, yale mengine ambayo haijaingizwa kwenye Katiba, wakati wake bado, Watu bado wanahofu...
Mwenzenu nimesoma Katiba inayopendekezwa lakini ninapata kigugumizi kwa kuona BMK imeondoa mapendekezo mazuri yaliyokuwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba iliyowasilishwa na Tume.
MMoja wa wajumbe...
Wakuu.
Leo tumeshuhudia vyama vinavyounda UKAWA kusaini makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao.
Mimi naunga mkono wazo hilo lakini ni vema vyama hivyo kama vina nia...
Vyama vya siasa kama kawaida vinaendeleza tabia yao ya kupora madaraka ya wananchi. Kwanza vilipora madaraka ya wanachi kwa kuwapora wananchi chombo chao muhimu sana ambacho ni bunge.
Kimsingi...
Naona mchakato wa katiba mpya unafikia ukingoni, tarehe karibu zitapangwa kwa ajili ya wananchi kupiga kura ya maoni.
kinachonisikitisha au kunishangaza sijaona juhudi mathubudi kuhakikisha...
Watanzania tumefunikwa na scandal ya Miss Tanzania badala ya suala la Katiba Mpya. Pengine tufikirie upya (Rethink) hivi ni kweli tunapaswa kutumia muda na shilingi nyingi za bundle kurusha...
Kuna kelele zimeanza kuwataka UKAWA kususia kura ya maoni inayotarajiwa mapema mwakani. Kwa kweli nisingeunga mkono kama wazo hili lingesema mfano wajitoe uchaguzi wa Serikali za mitaa au uchaguzi...
Yaani amini usiamini leo karibia mwezi unakatika MiCCM haijafanya mkutano hata mmoja kuhusiana na ubora wa Katiba wanayoisifia, haijulikani wamesibika na kitu gani, kuna mmoja alisema wanaandaa...
Kwa mazingaobwe yanayoendelea kutoka kwa Viongonzi wanaojiita Ukawa yanatuonyesha kuwa wanaipenda sana Katiba ya mwaka 1977.
Wamesahau na kujitoa akili kwa mapungufu makubwa yaliyopo kwenye...
Utafiti wa wanasayansi unaonyesha kuwa Zanzibar na mafia ndani ya miaka 100 itakuwa imezama baharini kutokana na mabadiliko ya hewa duniani.Process hiyo ya kuzama hata ukiwa angani waweza ona...
Aman iwe imetawala mioyo yenu !
Ndugu wadau hapa JF na popote pale inaposomwa JF ,ni jukumu lakila mpenda utulivu na amani kuwa makini na jinsi CCM chini ya Raisi Kikwete inavyofanya kila hali...
Jamani hili suala la 50/50 ni Majanga kwa Wanaume. Huku Makazini hatakama kazi sio ya kutumia nguvu, lakini ukipangwa na Mwanamke basi utajuta. Kila kazi utafanya wewe. Anakuegemea kwa kila kitu...
Ilikuwa saa 11 jioni siku ya ijumaa iliyopita eneo la michenzani visiwani Zanzibar ambapo Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hammad aliwashangaza wananchi wengi baada ya...
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amepiga marufuku mijadala ya Bunge la Katiba, kuzungumzwa katika vikao vya Baraza la Wawakilishi.
Binafsi nampongeza sana Spika Kificho.Bunge...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema hakuna uwezekano wa kura ya maoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na...
Imezingatia asilimia 20 tu ya maudhui ya Tume
Masharti ya mgombea binafsi hayatekelezeki
Kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu haiwezekani
Muundo wa Muungano umeiweka Zanzibar pabaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.