Mimi ni kijana wa umri wa kati nafanya biashara nimejiajiri,nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wangu kigezo kikubwa ni kujitambua.
Habari,
Kwa jina naitwa Carlson mwenye umri wa miaka 28, natafuta rafiki wa kike ambae tutakua na ndoto za kuoana baada ya kufahamiana. Mimi nipo chuo mwaka wa pili umri wake awe na miaka 25-28...
habari zenu wakuu
hope mmeshinda poa
kwanza kabisa ningependa tumshukuru mungu kwa kutulinda na kutupa pumzi yake mpaka hivi sasa (wote tuseme amin)
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninaishi Dar. Nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta mpenzi wa kike. Sichagui kabila, dini wala rangi.
Aliye interested anipm
Mimi ni kijana nasafiri kuja Dar Jumatano na ninatafuta dada wa Dar atakayenionyesha hilo jiji kwa sababu nitakuwepo pale kwa wiki mbili kikazi na ningependa kujua sehemu kadhaa kama vile beach...
Wadau,
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka kati ya 25-26.Ninatafuta mchumba mwenye tabia njema na upendo wa dhati, awe na umri kati miaka 24-22.Sibagui dini wala kabilaa kwa alie tayari...
Habari zenu,
Mimi ni jinsia ya kike natafuta mchumba umri kuanzia 40yrs na kuendelea awe mwaminifu na mwelewa, mengi zaidi tutaongea ani PM kwa maelezo zaidi asiwe mume wa mtu,
Asante
Mimi ni kijana wa umri wa kati ambaye kwa sasa nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wa maisha yangu yote.
Nitafurahi kupata rafiki anayeishi...
Mimi ni mvulana umri wangu ni miaka 30, elimu yangu ni shahada ya uzamili katika elimu, ninaishi mkoani Mtwara.
Nahitaji mchumba mwenye sifa hizi:
1. Kabila lalote lile lakn kwa sasa awe mkazi...
Wana Jf,
Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ndoa. Dini na kabila sibagui. Mimi ni muislam.Umri wangu 38. Nina elimu ya shahada moja. Nakaribisha wenye umri usiovuka 33. Maswali yote yatajibiwa...
Awe wa dini na kabila lolote.Mimi muislam.Umri wangu 38.Mtumishi serikalini. Elimu yangu ya shahada moja.
Umri wake usivuke 33.
Maswali yatajibiwa PM
Karibuni
Mwanamke mfanyabiashara ndiye anahitajika kwangu,na kama upo seriously kama haupo serious hiyo namba iache usichukue.
Umri 18-22
NB: Nahitaji mpenzi lakini awe mfanyabiashara
0715152700
Mimi ni jinsia ya me, umri wangu ni mid. 30's, I am well matured, najitambua, nasali kanisa la roman,muajiriwa, darasani pia nimehudhuria kiasi. Sio mnene sio mwembamba, am looking simple...
Habari zenu ndugu,
Natafuta mchumba wa kuoa, awe muislam mwenye iman kwa mola wake, awe na Miaka kuanzia 20-30. Kwa mawasiliano please first E-mail me throught harmarazar759@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.