Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nahitaji mchumba wa kike mwenye kuvutia kitabia na mwenye upendo kwa mume asiwe mwalimu mwenye kudhani anavutia. Ila mimi napenda mtu asiye tapeli nahitaji aliye tayari anijulishe na ni marufuku...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha habari, natafuta mchumba, umri kuanzia miaka 16-50 , sibagui dini wala kabila, wahi nafasi ni chache..
3 Reactions
71 Replies
5K Views
Salaam wakuu? Mimi kijana wenu miaka 23 nimejileta hapa kutafuta a life partner. Nilikua na mahusiano 4 years back na toka yavunjike sijajihusisha na mahusiano mengine sababu kua bize na masomo...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Habari wana JF, Natafuta mme kutoka JF. Naamini mme anapatikana sehemu yeyote. Mimi nina miaka 29. Ninae mhitaji awe na miaka 29 na kuendelea. Awe mkristo. Naomba alie serious...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Umri mwisho miaka 23,ruksa kuni Pm Serious nipo na ni kwa uhusiano mrefu tu
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mimi naitwa Can, natafuta mke wa kuoa/kuoana naye awe na sura nzuri, tabia nzuri mcha Mungu(mkristo), Elimu yoyote, kabila lolote na Taifa sibagui. Note that:~kua siriazi sifanyi mzaha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Am a girl aged 25 and employed, am looking for a serious man aged between 28 and 32, his education degree-masters. For more information nipm.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi naitwa Can Geofrey nina umri wa miaka 32, natafuta mke wa kuoa awe mzuri wa sura na mwenye tabia nzuri, mkiristo, mwenye umri miaka 18~27, kabila lolote, taifa lolote, elimu yoyote sibagui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi sijambo, Life is very tough and is very tough when you're lonely i said its enough. Nahitaji rafiki wa kike ambaye tukiendana tunaweza kua wapenzi, awe mzuri na awe mchakarikaji katika maisha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mke mwema anaitajika, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo: Elimu shahada,umri 28 yrs,mkristo safi(lutherani),mrefu na mweusi wa maji ya kunde, nimejiajiri kwenye kilimo cha mpunga kwa sasa, ni...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Umri wake usizidi 24yrs nina mtoto1 awetayari kumlea. Namba zangu 0768114209
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Nitawasiliana na atakaye hitaji mawasiliano na mimi tuongee mengi tuwasiliane pm anitumie namba na mimi yangu 0683629183 napenda sana kupata rafiki serious wa umri huo nilioutaja,ili niweze kushea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi kama lauzi nimeshaoa ila kuna rafiki yangu yeye anahitaji mke vigezo vya mwanamke anayetakiwa umri 24 - 28 awe na kazi akiwa mwalimu itakuwa vizuri zaidi dini awe Muslim, mwanaume yeye ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi? Iam a man, hereby looking a wife material who will marry me.So If you are a woman (any religion,colour,tribe,bachelor degree,age23-32,) warmly welcome,except who have a children. Pm My age is...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hey wapendwa, Nahitaji marafiki wa kuchart na kubadilishana mawazo. Pia napenda kujifunza mengi kupitia watu mbalimbali sibagui dini. jinsia wala kabila.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nina miaka 28, Mnyakyusa, mrefu wastani nata msichana awe Msukuma. Maji ya kunde, mcha Mungu na awe na heshima na adabu na umri 25 kushuka. Aliye tayari ani PM na nitamjibu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume rijali natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, asiwe amewahi kuolewa, asitumie kilevi chochote, asiwe na mtoto, umri wake 20-32, mvumlivu na mpole. Elimu shahada ya kwanza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ya mchana wapenzi wa MMU, Natafuta rafiki wa like awe ana miaka 25 na kuendelea awe anaishi Dar mimi nipo Dar. Mimi mkristo. Mengine aje pm Asanteni na karibuni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Natafuta mke wa kuoa anaeishi Kibaha atapewa kipaumbele, umri wangu ni miaka28 nipo siingle sijaoa, mke ni mtakae awe mweupe, elimu kidato cha sita na kuendelea, asiwe na mtoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nlna miaka 29
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Back
Top Bottom