Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanamke wa kuanzia miaka 34-37, mkristo, nina mtoto mmoja, nimeajiriwa, natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo, awe mkristo, elimu kuanzia form four kuendelea. Awe mwaminifu na mwenye...
2 Reactions
38 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa, Jina kamili naitwa Amos joseph natafuta rafiki wa kike. Ambaye yupo tayari anitext kupitia 0656523688 au 0752852278
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Natafuta rafiki wa kuchat nae, mimi ni jinsia ya ke awe na umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kama yupo aniprivate message.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
[SIZE=3]I am a male natafuta mke,
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sifa; awe mrefu 150cm-160cm, asitumie kilevi,awe mkristu mkatoliki,maji ya kunde/mng'avu, mwenye umbo na sura yakuvutia plus tabia njema, umri wake 17-21, mimi mweusi, 24yrz , bado naendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa ulietayari fursa hii vigezo na masharti kuzingatiwa na mengineyo ni kwa good pipoz tu. Njoo pm tubadilishane mawasiliano.
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Hi, [SIZE=3]Iam a Tanzania man looking for woman who will marry me.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iam a boy aged 29 looking for a girlfriend. umri 18-27 alie serious ani pm.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hello Natafuta rafiki wa kike atakayekidhi maudhui ya mada iliyotajwa hapo juu. Sifa zake:- Awe mrefu,mweupe,mrembo,umri kati ya 20-27,awe independent and decisive,awe Shinyanga, Mwenye sifa hizo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta rafiki mpya wa kunifaa maishani mwangu. Namba yangu hii hapa 0752852278 karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa aliye serious, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.Ni kijana wa kikristo mwenye hofu ya Mungu.Elimu yangu ni shahada ya awali. Ni muajiriwa. Natafuta rafiki wa kike popote napendezwa zaidi...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
1.Awe mwanamke 2.umri 18 to infinite 3.Awe na akili timamu 4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao. 5.Arembo majiyakunde na...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari zenu wanawake Mimi ni mwanaume mtu mzima nina miaka 46,kwa heshima kubwa na nina nia ya dhati kutoka moyoni na upendo wa kweli moyoni mwangu,najitokeza kutafuta mwanamke kwa maisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haijalishi kiwango cha Elimu mimi ni Muhitimu wa Chuo Contacts- 0653325710 And 0689744743
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kuchat nae awe umri kuanzia 18 - 25 awe wa kike hata wa kiumee poaa . Lakini wa kike ingekuwa poouwa zaidi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike mwenye umri 18-26, kwa yeyote alie tayari ani pm tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Huu si utani ni kweli. Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote but mwanzoni mwa mwaka huu kuna binti...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Mim n mwanaume wa miaka 27,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati,mwenye elimu na dini yoyote. pm ndio itakuwa rahisi kujaana nakupeana namba za simu. Nipo mwanza
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jukwaa ndugu na jamaa. Poleni na majukumu ya kila siku, ila mwenzenu namtafuta aliyetayari kuishi nami kwa shida na raha. Vigezo; -Umri 32-35. -Dini yeyote, tutakubaliana katika hili...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom