Ulaghai wa mahusiano mtandaoni hutokea pale ambapo mtu anaamini yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine 'tapeli' katika Mitandao ya kutafuta wachumba 'dating sites' kama vile Tinder na OkCupid...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Kila mtu sasa hivi ni mwanasaikolojia anaelezea mapenzi na afya ya akili. Ukimuangalia huyo mwanasaikolojia unabaki kushangaa huyu mbona yeye tayari ana stress.
Baadhi ya 'wanasaikolojia' wa...
Hi guys,
Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana...
Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu.
Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa...
"Endapo bado hujaelewa tofauti kati ya wavulana na wanaume, hapa kuna mifano michache inayohusu mahusiano ya kimapenzi:
- Mvulana: hutumia wanawake kujenga kujiamini.
Mwanaume tayari ana...
Wananzengo mko salama?
Leo nimeulizwa swali na raia mmoja nikakosa majibu ndugu zangu; natumaini kupitia jukwaa hili, nitapata majibu ya swali nililoulizwa.
Natumaini hii hali ilishakutokea...
Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30...
Wakuu,
Leo acha nizungumze na wazazi, wazazi mtanisamehe kwa nitakachokizungumzia hapa leo hii ila naomba mnielewe. Naombeni muda wenu walau kwa dakika kadhaa someni hiki ninachowaasa kitawasaidi...
**weekend hii tulivu nimekaa nikatafakari juu ya Ukuu wa baadhi ya wanaume jamani **
Yaani unakuta mwanaume anagusa kona zote,
Kushoto kulia
Kaskazini mpaka kusini
Anakata mabonde na milima bila...
To you Papa D,
I know you know how much I love you.
Wachana na maneno ya wanga,
Nisikize mimi,nipe vya uvunguni usinibanie,
Nilaze kwenye kifua chako Mashaallah, usiniache hewani.. Nipo tayari...
Kuna Mdada nimeona mtandaoni anasema "wanaume siku hizi hawatongozi, wanatafuta shida yako ni nini, anakaa, anakukula, anasepa".
Ningependa kumwambia kuwa hao wanaume ni Madomo Zege na midomo yao...
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia...
Dear Ladies.
Ukiachana na sex unayoprovide kwa mwanaume ni kitu gani kingine kama mwanamke kwenye ndoa au uliye kwa mahusiano unatoa.
Ndoa za sahizi zimekuwa shida Ila moja ya vitu nilivyogundua...
Habari za mda huu,.
Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space...
MWANAMKE HAPASWI KUWA MGOMVI
Mithali 21:9, 19;
"Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini, kuliko ktk nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi."
"Ni afadhali kukaa ktk nchi ya nyika, kuliko na...
Kati watu ambayo tumewahi kushika pesa umri mdogo kuanzia miaka kumi na 14, basi mimi ni miongoni mwao. Siwafichi chanzo cha hela ilikuwa wazazi wangu, hata nakumbuka nilijua kuendesha gari na...
𝚂𝚎𝚑𝚎𝚖𝚞 𝙸
𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂
_______________________
Moja ya tofauti iliyopo kati ya Mwanaume na Mwanamke ni kwamba Mwanaume anahitaji sana Utulivu na Amani ya Akili (Peace of Mind)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.