Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji...
15 Reactions
325 Replies
19K Views
Wengi wao wakizaa ndiyo basi kabisa muda wote wanajifanya wanamcare mtoto, siku zote mume ndiyo anakuwa muhamasishaji wa mechi, uzembe huu huwa unafanywa sana na wasichana walio kwenye ndoa...
0 Reactions
87 Replies
11K Views
Miongoni mwa matatizo makubwa kabisa yanayowakabili wanaume katika suala la kujamiiana ni kufika kileleni mapema. Takwimu zisizo rasmi zinaonesha kuwa, wanaume saba kati ya kumi wanakasoro hii...
2 Reactions
7 Replies
16K Views
According to you, what do you think makes Ladies to be more happy? 1. Attention 2. Love 3. Money 4. Sex 5. Care 6. Truth 7. Lies
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Pindi nipo chuoni Udom mwaka 2009.. nilpata mtoto mmoja Black beauty mrefu kiasi na mwenye sura upole. Jina ..A.. kwa kuwa niliweka nadhiri ya kutofanya nae mapenzi kipindi cha mahusiano...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
aiseeee babayangu salamu nyingi ziwafikie wanaJF jana nimemwona binti yake obama live bila chenga aiseeeee si mchezo mtoto katulia chuchu saa 6 mchana nimetokea kumpenda sana,ngozi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Eti Mi nimemtembelea demu wangu, siaonana nae siku toka amehamia makazi mapya. Wapangaji wenzie wamekaa coridoni karibu na mlango wake ili ninapotoka wanione. Sijui ili iweje? Kama akitaka...
3 Reactions
63 Replies
11K Views
Hapo kati mamsapu aliniletea sana za kuleta na siku moja akanitamkia wazi kuwa amechoka kuishi na mimi (baadae aliomba msamaha akasema alipandwa na hasira). Kipindi tulichochuniana nikakutana na...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Naomba msaada wakuelekezwa jinsi ya kucoment katika blogs mbalimbali.ni vipi nitakua member?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Week iliyopita nimeanza rasmi maisha mapya baada ya kumaliza shule..ah ndani ya week moja Tu nayaona magumuu. Nahisi kua soo lonely,namiss marafiki nliosoma nap japo twawasiliana kwa simu Kuna...
0 Reactions
112 Replies
6K Views
Kuna jamaa mmoja ni mwanachuo alitokea kumpenda dada mmoja ambaye ni mwanachuo mara ya kwanza wamekutana kwenye discussion, jamaa akamwomba namba yule duu akampa alipohipata tu,jamaa akaanza...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
If you are married, there are TWO things involved: You cheat on your spouse OR you are being cheated. If you cheat on your spouse, you are SAFE! If you are being cheated, there are TWO...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Baby Girl Swims Like a Pro - YouTube Jamani ni vyema kumfundisha mtoto wako akajua kuogelea tangu akiwa mdogo ili hata akikutana na mazingira hayo hata kwenye hatari anaweza kujiokoa. Haya wazazi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mfn:demu, mzigo, baasha nk. Naomba mifano ya majina haya yaorodheshwe na kujadiliwa vyanzo vyao
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ule usemi usemao "ukistaajabu ya Musa...." umedhihirika pale ambapo jamaa moja linalojiita mume wa mtu, limekuwa likimlipisha mkewe nauli. Yani gari amenunua mwanaume, ila mke akitaka msaada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Guys in the stress free zone! I'm here. These are 10 differences between girls and women, of course every man need a woman and every woman need a man, no girl need a man until she become matured...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Dear wapendwa mwezi uliopita nilikuja na maombi yangu juu ya bibi yangu alie pichani ..huyu ni bib mzaa mama na mwaka jana jun nilikuja kushukuru mungu kwa kumpumzisha mama yangu kipenzi mildred...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Natoa shukrani kwa ubunifu wenu wanajamii ndani ya MMU, kwani tangu nijiunge na JF kuna maneno mapya yafuatayo nimeongeza katika misamiati niliyonayo. Aidha maneno hayo yanamkosha sana wife kwa...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Mi navutiwa na yale yanakuwa kama mabano ila zasizidi sana. Na binti akiwa na mguu mzuri ndio nalogwa kabisa hata Airforce one ntamuhonga japo sina! Yale ya kuficha kifanyio sipo kabisa, kwangu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom