Awali ya yote wana jamvi za jioni??? Mimi ni mgeni machoni penu lakini ni mwenyeji hapa jamvini: Naweka uzi wangu maana sasa inataka kula kwangu.. Tatizo lenyewe liko hivi hapa mtaani kuna jirani...
NILIWAHI kusoma hadithi moja kwenye magazeti iliyokuwa inamhusu mkuu
mmoja wa kituo cha polisi aliyefaa kuitwa Mtu Mzima Hovyo.
Kwa mujibu wa hadithi hiyo, afande huyo, licha ya umri wake...
1.mwanaume hapendi kuwa cheated na mpenzi wake awe wa ndani au nje ya ndoa,najua na wanawake pia hawapendi na wanaumia kuwa cheated, lakini kuna utofauti kucheat kwa mwanamke na mwanaume,mwanaume...
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano...
Huu ni mtazamo wa Bwana ABUNUASI juu ya wanawake, Je haya ni ya kweli??? wewe haya yamekukuta??
Women are demons, and were born as such; No one can trust them, as is known to all;
If they love...
Habari wana jf,hebu tufurahi kidogo hapa ikiwa ni pamoja na kutafakari kama yanaweza kutufika sisi tungefanyaje.Kuna wanandoa fulani ambao wamedumu katika ndoa yao takribani miaka kumi,lakini...
Habari zenu jamani mie mwenzenu nilikuwa na rangi nzuri sana ile chokoleti sasa nikajikuta napenda weupe mkaali nikaanza kutumia tentclair basi mpaka leonapaka mikorogo ya bei anayeuza Sandra pale...
"i will marry you"
this is the bigest and common lie spoken by many men/boys to cheat women/girls.
"nitakuoa"
ni uongo unaozunguzwa sana na wanaume kuwahadaa wanawake.
WATCHOUT.
Mchumba(msichana) wangu ni mweupe japo si sana. Amekua akitumia lotion ya blue lady lakn sasa nataka nimbadilishie lotion au mafuta. Kwa yeyote anayejua mafuta au lotion nzuri kwa specification za...
Mimi ni kijana,umri wangu miaka 26,nina kipato cha kawaida kwa kazi ya kujiajiri,dini yangu mkristo,nahtaj mweza wa maisha,awe mrefu wa wastan,mnene kiasi,sibagui dini,rangi wala kabila ila...
ATLANTA A local woman is upset that a refugee family from Africa was kicked off a flight to Atlanta because of the way they smelled.
Rochelle Jones was happy to see the refugee family heading...
Mim ni mwanaume nina miaka 28,nimeoa kabla ha2jaoana mke wangu alikuwa na tabia ya kila nikimhitaji anasema hajisikii,nikadhan kuwa anahofu nitamchezea na kumuacha lakin cha kushangaza hata...
++
Kuna watu katika jamii ambao wakitamka jambo basi lazima litatokea tu.Wakikuambia usiende safari,basi usiende kweli Ukibisha ukaenda unaishia kupata matatizo.Hapa siongelei watabiri wa nyota...
nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini
bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka...
Baada ya baba kuwa na familia alijaliwa watoto wa kike wawili na wa wakiume mmoja wakati huo huo baba huyu alijipenyeza na kwenda nyumba ndogo ambapo alijipatia pia mtoto wa kiume na baada ya...
Mm nashindwa elewa kwann boss kadies wako na wivu sana na subordinate wao hasa when you look good o unadress nicely.
imagine mpaka boss kaomba aamishwe kitengo kisa kashindwa vumilia...
Hivi jamani wanaume wengine bado wana mapenzi ya kizamani ya kuwafanyia vituko mademu na wao kujiona vidume,kama demu humtaki kwa nini usimwambie ukweli,sawa ataumia lakini yatapita atasahau...
Sababu ya furaha iko ndani yako. Sote tuna roho na miili. Sehemu ya roho siku zote huwa na furaha. Ni sababu ya furaha. Akili na fikra zako ndizo zinazuia virutubisho hivi vya furaha. Kama vile...
1.Ni binti/dada mwenye umri wa miaka26 hivi,hana mtoto wala mume.
Anafanya kazi kwenye kampuni moja hapa LUSAKA(ZANACO)ni jirani kabisa na stand kuu ya mabasi ya kwenda nchi jirani za...
Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-point ukweni hali ilivyo,unaweza kukaa nae kama wapenzi hata miaka zaidi ya 10 ila ndoa hataki coz ashajua ukoo wenu sio anaoutaka anakulia Timing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.