Nina rafiki yangu ana rafiki yake ambaye sipo nae karibu sana.
Tulikuwa tunaongea juzi tukiwa tumekunywa wine kidogo. Katika story akaleta confession baada ya kunambia kisa cha rafiki yake...
Nimrejeshee nini mamsapu!
Wakati ule tulipoanza mahusiano, yeye aliniambia amewahi kuwa na mahusiano na mtu mmoja tu ambae hata hivyo hakudumu nae muda mrefu. Nilipomtizama usoni, alionyesha wazi...
Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya.
Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani...
Hello,
Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani.
Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level...
Tarehe kama ya leo February 7 mwaka 1990 wakati mwanafunzi wa kike wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipojiua, watu wengi walifikiri kuwa alifanya hivyo kwa sababu alikuwa na...
Wakuu salaam,
Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka...
Ndugu zangu na mwenye ufahamu na asikie neno hili.
Siyo kwamba tunawachukia wanawake, tunawapenda ila nyie wenyewe ndiyo waharibifu wakubwa, bado mnadanganywa na wanawake wenzenu mafeminist...
Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia binti hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa...
Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna...
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu.
Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa...
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua...
Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani.
Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi...
Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele.
Dada wa watu anabaki analia lia.
Mume kamuacha na wewe...
WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI
Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini...
Naomba niende kwenye mada, mimi na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wa pili mwaka 2018.
Nilihamishwa kikazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.